NDUGU YETU, MWANA LJS MWENZETU NA RAFIKI YETU MPENDWA SANA NDUGU KELVIN MUJWAUZI NJUNWA (HP) AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI.
KIFO KIMETOKEA DSM JANA TAREHE 24 AUGUST 2011 NA LEO TAREHE 25 AUGUST 2011 MWILI UTASAFILISHWA KWENDA MOROGORO.
NDUGU ZANGU TUUNGANE NA FAMILIA YA MZEE NJUNWA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU KWA SALA NA MAOMBI ILI MUNGU AWATIE NGUVU.
NAMBA YA NJUNWA KELVIN NI
0713-439252
AHSANTE,
MIMI MZEE WA DEEPER |
-----Original Message-----
From: Rhobi Sandra Mukami <rhobi...@gmail.com>
Date: Thu, 25 Aug 2011 14:48:28
To: <ljsclas...@googlegroups.com>
Subject: Re: [LJSclassof2000] MSIBA
Kelvin pamoja na familia,
Pole sana kwa msiba huu mzito.
Katika kipindi hiki kigumu, tuko pamoja katika sala zetu tukikuombea faraja na nguvu kwako na familia nzima.
R.I.P baba.
From,
Rhobi and family.
2011/8/25 lulu tunu <lulu...@yahoo.com <mailto:lulu...@yahoo.com> >
Kelvin poleni sana katika kipindi hiki. Mungu awatie nguvu.
Yote ni mapenzi yake
Love is the flower of life,and blossoms unexpectedly and without law,and 
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
Sent via BlackBerry by AT&T
| kaka kelvin pole sana na ninapenda kuwapa pole familia nzima na kuwatakia utulivu katika kipindi hiki kigumu... tom --- On Fri, 8/26/11, brai...@yahoo.com <brai...@yahoo.com> wrote: |
-----Original Message-----
From: shubby rwegasira <shu...@hotmail.com>
Date: Fri, 26 Aug 2011 13:44:21
To: <ljsclas...@googlegroups.com>
Subject: RE: [LJSclassof2000] MSIBA
Pole sana Kelvin. Mungu awape faraja yake...
----------------
Date: Fri, 26 Aug 2011 05:55:45 -0700
From: t_ny...@yahoo.com
Subject: Re: [LJSclassof2000] MSIBA
To: ljsclas...@googlegroups.com
kaka kelvin pole sana na ninapenda kuwapa pole familia nzima na kuwatakia utulivu katika kipindi hiki kigumu...
tom
--- On Fri, 8/26/11, brai...@yahoo.com <brai...@yahoo.com> wrote:
From: brai...@yahoo.com <brai...@yahoo.com>
Subject: Re: [LJSclassof2000] MSIBA
To: "LJS 2000 class" <ljsclas...@googlegroups.com>
Date: Friday, August 26, 2011, 2:34 AM
Mr njunwa pole sana kwa msiba wa baba, naungana na wanafamilia ljs wote kwa maombi na kutakia ujasiri na faraja tokaka kwa muumba. Mungu awatangulie na kuwasimamia katika magumu haya.
Amen. Sent via BlackBerry by AT&T
----------------
From: kon...@yahoo.com
Sender: ljsclas...@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Aug 2011 08:32:51 +0000
To: <ljsclas...@googlegroups.com>
ReplyTo: ljsclas...@googlegroups.com
Subject: Re: [LJSclassof2000] MSIBA
Kelvin and family
Poleni kwa msiba mzito wa baba yetu mpendwa. Roho wa Bwana na awape nguvu na faraja katika kipindi hiki cha majonzi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
----------------
From: Mwakapeje Mrs <smwal...@yahoo.com>
Sender: ljsclas...@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Aug 2011 01:26:52 -0700 (PDT)
To: ljsclas...@googlegroups.com<ljsclas...@googlegroups.com>
ReplyTo: ljsclas...@googlegroups.com
Subject: Re: [LJSclassof2000] MSIBA
Mzee wa deeper ahsante kwa taarifa hii ya kusikitisha.Bwana alitoa na bwana ametoa jina lake libarikiwe.
Kaka Njunwa POLE SANA BABAANGU.
Mungu ndiye mfariji wetu.
<http://mail.yimg.com/us.yimg.com/i/mesg/tsmileys2/07.gif> Love is the flower of life,and blossoms unexpectedly and without law,and
must be plucked where it is found,and enjoyed for the time of its duration. <http://mail.yimg.com/us.yimg.com/i/mesg/tsmileys2/40.gif>
Mrs Subira Mwakapeje,
State Attorney,
Attorney Generals Chambers,
P.o.Box 9050,
Dar-es-salaam,
Mob:+255786857519,
Email:subir...@yahoo.com.
:smwal...@yahoo.com
From: festo kandonga <festok...@yahoo.co.uk>
To: ljsclas...@googlegroups.com
Sent: Thursday, August 25, 2011 11:07 AM
Subject: [LJSclassof2000] MSIBA
NDUGU YETU, MWANA LJS MWENZETU NA RAFIKI YETU MPENDWA SANA NDUGU KELVIN MUJWAUZI NJUNWA (HP) AMEFIWA NA BABA YAKE MZAZI.
KIFO KIMETOKEA DSM JANA TAREHE 24 AUGUST 2011 NA LEO TAREHE 25 AUGUST 2011 MWILI UTASAFILISHWA KWENDA MOROGORO.
NDUGU ZANGU TUUNGANE NA FAMILIA YA MZEE NJUNWA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU KWA SALA NA MAOMBI ILI MUNGU AWATIE NGUVU.
NAMBA YA NJUNWA KELVIN NI
0713-439252
AHSANTE,
MIMI MZEE WA DEEPER -- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
-- For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000 <http://groups.google.com/group/LJSclassof2000>
| Mr. Kelvin pole sana kwa matatizo haya yaliyoipata familia yenu. Mungu awatangulie ktk kipindi hiki kigumu. --- On Fri, 8/26/11, Hillary Rite <hill...@hotmail.com> wrote: |
Rgds
David & Raheli
hey brother kelvin am sorry for the news.may the love of God comforts you at this very touching moment.
lusajo. |