--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
Mambo zenu wapendwa?
Napenda nami nijimwage uwanjani hasa juu ya huu wimbo wa Re-union .
Kusema kweli ni muda sasa tumekuwa tukiuimba sijajua mwelekeo ukoje bila shaka kuna tatizo mahali fulani.
Sasa viongozi Walter, LULU tafadhali tupeni plan nini kinatakiwa pesa ngapi mchango ni shiling ngapi account namba ya kudeposit ni ipi please let do it.
Naweza kuonekana nina maswali ya kipuuzi lakini nina uhakika wengi tuko nje ya uwanja kabisa .
Mimi yangu ni hayo naomba mwongozo.
Dada Lili utenzi umenikosha ama kweli manyanga nimekubwagia.
Kaka Braille kwa kujibu swali lako mara ya mwisho kupita Seminary ilikuwa ni wakati tulipokuwa tunamtafutia Amosi mke tulikuwa na kaka Deo na Benard it was fun tulikutana na Baba Maro akatupa ndizi tule......hahaaa.
Ben upo??? ..pole na Shule.
Kaka Deo salama??
Love,
G
Gigwa Stephen (Mrs) University of Dar es Salaam Mlimani Postal Mail Bag P. O. Box 110 136 Dar es Salaam Tanzania. Tel.(Mobile) +255 (0)744 387 643 --- On Tue, 6/8/10, Amos Malongo <amos_...@yahoo.com> wrote: |
Wapendwa katika Bwana
ni matumaini yangu kuwa mu buheri wa Afya....
Kwa kweli hii ajenda nadhani umefika wakati wake muafaka wa kuiweka mezani ili tuifanyie kazi..... Kwa ule ukweli ni kwamba tusipokuwa serious na suala hili, tutajikuta malengo yetu ya re union 2010 yanachelewa kama si yanaishia njiani (naamini hatuko tayari kwa hili)......
Binafsi niko tayari kuendelea na mchakato huu ambao kama nakumbuka uko chini ya uongozi uliotukuka wa Mh. Walter Julius Shangali Mushi. Kama rai, kaka Walter tuite nasi tutaitika, tutume nasi tutatumika...
Vinginevyo, ni vyema tuendelee kuwasiliana na kushirikishana yanayojiri hapa mjini....
Naomba kuwasilisha na kuunga mkono hoja kwa asilimia 100.
Konga, Bernard
Economist
Ministry of Health and Social Welfare
Department of Policy and Planning
P.O. Box 9083
Dar es Salaam, Tanzania
+255 22 2120261-7
--- On Wed, 6/16/10, Jefta Gladys <gje...@yahoo.com> wrote: |
RE-UNION OYEEEEEEEE, RE-UNION OYEEEEEEE
Kwanza kabisa napenda kuwasalimu wote katika jina la Bwana wetu aliye hai,
Pili niwapongeze wale wote walio olewa na kuoa na waliopata watoto na wengine wote kwa mafanikio mnayoendelea kupata siku hadi siku Mwenyezi Mungu awabariki sana na aendelee kuwatunza wote na familia zenu.
Tatu ni re-union kwakweli nimewapata na ni kweli mchakato ulianza tukiwa na kina wetu Lulu na mimi nikiwa kama mjumbe. nichukue safasi hii kumuomba dada Lulu kama yupo hapa town tuwasiliane ili tujue tulipofikia then tujue tunaendeleaje. Mimi binafsi nipo tayari kujitoa kwa hali na mali kuhakikisha re-union inafanikiwa.
|
SALAMA NYOTE,
NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAJULISHA KUWA NDUGU YENU, RAFIKI YENU NA MSEMINARY MWENZENU FESTO JOSEPH KANDONGA NIMEMPATA MWENZANGU WA KUISHI NAE KAMA MKE NA MUME. KWA TAARIFA HII NINAWAOMBA WASEMINARY WENZANGU MUNIUNGE MKONO KWA KUFANYA YAFUATAYO:
1. KUJUMUIKA NAMI PAMOJA NA NDUGU JAMAA KATIKA KIKAO CHA KWANZA KITAKACHOFANYIKA DAR ES SALAAM TAREHE 3 JULAI 2010 MAKUMBUSHO- K'NYAMA KARIBU NA MILLENIUM TOWER
2. KUSHIRIKI KWA MAOMBI, HALI NA MALI ILIKUTIMIZA TENDO HILI TAKATIFU KWA UTUKUFU WA BWANA
3. KILA MSEMINARY ATAKAYE UONA UJUMBE HUU AMJULISHE NA MWINGINE
4. TAREHE YA SHEREHE INATAZAMIWA KUWA TAREHE 18 SEPTEMBER 2010 KATIKA KANISA LA KKKT K'NYAMA
5. MENGINE TUTAJULISHANA JAMANI
6 KWA MAWASILIANO TAFADHALI NIPIGIE KATIKA +255 715 755 636/ +255 783 755 636 OFISI NBAA MHASIBU HOUSE BIBI TITI MOHAMED STREET KARIBU NA MAKTABA YA TAIFA . barua pepe festok...@yahoo.co.uk ujumbe Proverbs 19:21 Psalm 33:10, 11, Job 23:13; Isa 14:26, 27 Isa 46:10.
NATOA HOJA WASEMINARY WENZANGU. |
Nawasalimu wote ktk jina la Bwana,
Kaka Kandonga karibu sana ktk chama chetu kilicho kizuri ili utimize maandiko matakatifu.
Tuko pamoja kama kawaida.
|
Sent via BlackBerry by AT&T
kaka kandonga hongera sana,
mpango mzima...mimi ni nani hata kutouunga mkono??.hata kwa maombi...
oh yes am a big fun of that dirty game...dont i look like one...trust me i love it.
miss you all.
"life is a walk with God,not a race with men..." Mrs Subira Mwakapeje,
State Attorney,
Ministry of Constitutional and Legal Affairs,
P.o.Box 9050,
Dar-es-salaam,
Mob:+255786857519,
--- On Tue, 6/22/10, Hillary Rite <hill...@hotmail.com> wrote: |
Mr. Kandonga,
Thanks for sharing the good news... HONGERA SANA....
I am not too sure if I will be able to attend the kikao on that day as I will be
writing my exams from next week .... Ila kaka you have my support all the way...