Dada lily sidhani kama liloliongelewa "radio mbao"
kuhusu mkikuyu kama litafika huko....mungu mkubwa
mambo yatakaa sawa karibuni...
kaka amos harusi ya tusa nipo mlangoni mwa kanisa
zuilio la haki ninalo mkuu....bila kuelewana
hakieleweki kitu...joke
Dada Tusa nakutakia siku nzuri yenye furaha, nikiweza
ntakuja ila siku hiyo hiyo ntakuwa na harusi hapa home
nawakaribisha wote....ila hata kwa 5min lazima nije
aisee......ntadondosha chozi aiseeeeee....!!!!!!!!!
Jamani anayefuata nani ktk mambo ya kuuaga ukapera???
dada zetu mkiisha nafikiri ndio tutashtuka na sie
kuanza kutangaza... wazungu si wanasema "wanawake
kwanza" mie natangaza yangu na gladies ila itakuwa ya
mwishoni....wanga msinibanie...ndio nshaitangaza hiyo.
> ---------------------------------
> Never miss a thing. Make Yahoo your homepage.
>
>
>
CEO & PRESIDENT
"ZION PHARMACEUTICAL INDUSTRY"
Tel: +919894155529
"Bravery is not a quality of the body, it is of the soul"
____________________________________________________________________________________
Never miss a thing. Make Yahoo your home page.
Ni kweli Ras naona mabo yanakuwa shwari baada ya kenya kuuza magazeti kwa zaidi ya week 2.
Hakuna atakayekubania katika uamuzi wako kaka. Ila bibiye Gladys hajatujuza hilo na tulikuwa wote kitchen party ya Isyu. Nafikiri alikuwa akitafakari yake itakuwaje na Pastor wa Gujarati. hahahahaaaaa! saafi sana! mwaka huu unagawanyika kwa mbili so tutegemee lolote. hata Jitu anaomba mwaka huu usipite bila Mungu kutenda muujiza. Amos ndo usiseme anasugua goti kama yuko gethsemane.
Lakini katika yote, tukumbuke kushukuru na kumtanguliza Mungu! Alamsik!
From: Ras Frah <ras_...@yahoo.com>
Reply-To: LJSclas...@googlegroups.com
To: LJSclas...@googlegroups.com
Subject: [LJSclassof2000] HERI YA MWAKA MPYA
Date: Tue, 8 Jan 2008 04:17:24 -0800 (PST)
Kaka Braille, mbon nta foo?
Hillary aka OPAM, bado nakukumbuka mzee ingawa siku hz umenimwaga.
Isyu mambo niaje? kama siamini vile, lakini poa tu. najua uko busy mida hii, wish u tha best mpendwa.
Bandugu wengine mnafeel ajeee........! Tupo pamoja, kudadadeki.
" IT DOESN'T MATTER HOW SLOWLY WE GO SO LONG AS WE DONT STOP". Confucius
Lilian Nsyenge wrote:
> Ni kweli Ras naona mabo yanakuwa shwari baada ya kenya kuuza magazeti kwa zaidi ya week 2.
> Hakuna atakayekubania katika uamuzi wako kaka. Ila bibiye Gladys hajatujuza hilo na tulikuwa wote kitchen party ya Isyu. Nafikiri alikuwa akitafakari yake itakuwaje na Pastor wa Gujarati. hahahahaaaaa! saafi sana! mwaka huu unagawanyika kwa mbili so tutegemee lolote. hata Jitu anaomba mwaka huu usipite bila Mungu kutenda muujiza. Amos ndo usiseme anasugua goti kama yuko gethsemane.
> Lakini katika yote, tukumbuke kushukuru na kumtanguliza Mungu! Alamsik!
>
> From: Ras Frah <ras_...@yahoo.com> Reply-To: LJSclas...@googlegroups.com To: LJSclas...@googlegroups.com Subject: [LJSclassof2000] HERI YA MWAKA MPYA Date: Tue, 8 Jan 2008 04:17:24 -0800 (PST) > >HERI YA MWAKA MPYA....... >kaka braile na dada pam tunashukuru kwa neno la >kutuongoza mwaka huu wa 2008 na wengine wote >waliochangia mawazo ktk kukaribisha mwaka bila >kumsahau mzee wa UN.....mungu awabariki... > >Dada lily sidhani kama liloliongelewa "radio mbao" >kuhusu mkikuyu kama litafika huko....mungu mkubwa >mambo yatakaa sawa karibuni... > >kaka amos harusi ya tusa nipo mlangoni mwa kanisa >zuilio la haki ninalo mkuu....bila kuelewana >hakieleweki
> kitu...joke > >Dada Tusa nakutakia siku nzuri yenye furaha, nikiweza >ntakuja ila siku hiyo hiyo ntakuwa na harusi hapa home >nawakaribisha wote....ila hata kwa 5min lazima nije >aisee......ntadondosha chozi aiseeeeee....!!!!!!!!! > >Jamani anayefuata nani ktk mambo ya kuuaga ukapera??? >dada zetu mkiisha nafikiri ndio tutashtuka na sie >kuanza kutangaza... wazungu si wanasema "wanawake >kwanza" mie natangaza yangu na gladies ila itakuwa ya >mwishoni....wanga msinibanie...ndio nshaitangaza hiyo. > > >--- Amos Malongo <amos_...@yahoo.com> wrote: > > > Bwana wetu Yesu Kristo asifiwe! > > > > Ama baada ya salamu hiyo takatifu, naomba > > nikusalimuni zaidi kwa kusema Heri ya mwaka mpya > > 2008! > > > >
> Napenda kuungana na wote waliokwishaandika mistari > > katika huu wavuti wetu, hasa naona mzee wa UN > > ameanza kwa kasi nzuri mwaka 2008,endelea kaka > > usiache. Braille mkuu wangu wa kazi wewe na mimi ni > > sawa na "Wapemba wa Bara" wala si waarabu wa > > pemba...hahahaa! > > > > Leo ni tarehe nane(mtanisamehe kwa wale mtaosoma > > email hii kabla ya tarehe 8), naamini zimebaki siku > > 3 takribani ya Birthday ya Tusa...of course na siku > > ya Harusi pia. Tumejiaandaje kama wanadarasa? > > Tumemaliza ahadi za michango yetu? Jamani shughuli > > yahitaji watu eti, na watu wenyewe ndio siye...sasa? > > Kieleweke basi by terehe 10 hivi ili dada yetu atoke > > kimasomaso! > > > > Nashuhudiwa na Roho wa Mungu kwamba
> atakayefuata > > baada ya Tusa > > ni....ni......ni......ni......ni.......! > > nakutakieni wakati mzuri wajameni! > > amos. > > > > > > "Do nothing from selfishness or empty conceit, but > > with humility of mind, regard one another as more > > important than yourselves;do not merely look out for > > your personal interests,but also for the interest of > > others.""So then, while we have opportunity,let us > > do good to all people,and especially to those who > > are of the household of the faith." > > Philippians 2:3;Galatians 6:10 > > > > --------------------------------- > > Never miss a thing. Make Yahoo your homepage. > > > > > > > > >CEO &
> PRESIDENT >"ZION PHARMACEUTICAL INDUSTRY" > Tel: +919894155529 > > "Bravery is not a quality of the body, it is of the soul" > > > ____________________________________________________________________________________ >Never miss a thing. Make Yahoo your home page. >http://www.yahoo.com/r/hs > >
>
__________________________________________________________
Sent from Yahoo! Mail - a smarter inbox http://uk.mail.yahoo.com
Looking for last minute shopping deals? Find them fast with Yahoo! Search.
HERI YA MWAKA MPYA.......
kaka braile na dada pam tunashukuru kwa neno la
kutuongoza mwaka huu wa 2008 na wengine wote
waliochangia mawazo ktk kukaribisha mwaka bila
kumsahau mzee wa UN.....mungu awabariki...
Dada lily sidhani kama liloliongelewa "radio mbao"
kuhusu mkikuyu kama litafika huko....mungu mkubwa
mambo yatakaa sawa karibuni...
kaka amos harusi ya tusa nipo mlangoni mwa kanisa
zuilio la haki ninalo mkuu....bila kuelewana
hakieleweki kitu...joke
Dada Tusa nakutakia siku nzuri yenye furaha, nikiweza
ntakuja ila siku hiyo hiyo ntakuwa na harusi hapa home
nawakaribisha wote....ila hata kwa 5min lazima nije
aisee......ntadondosha chozi aiseeeeee....!!!!!!!!!
Jamani anayefuata nani ktk mambo ya kuuaga ukapera???
dada zetu mkiisha nafikiri ndio tutashtuka na sie
kuanza kutangaza... wazungu si wanasema "wanawake
kwanza" mie natangaza yangu na gladies ila itakuwa ya
mwishoni....wanga msinibanie...ndio nshaitangaza hiyo.
tusajigwe isaga andendeksye mwakikole mwana wa
mwalukasa kaamua kuuaga ukapera.....ni furaha ila
inaniuma, najikaza kijeshi tuu mtoto wa manyara
Gladies biashara asubuhi, tufanye hima bibie... au na
mie ninunue bastola? maana kweka yeye katangaza vita
kabisa...bugando sio mbali.
____________________________________________________________________________________
Be a better friend, newshound, and
know-it-all with Yahoo! Mobile. Try it now. http://mobile.yahoo.com/;_ylt=Ahu06i62sR8HDtDypao8Wcj9tAcJ
YAHOO HAIWEZI FUNGWA BWANA.... RWAGA NAJUA WAHAYA
WAJANJA WEWE UMETOKEA WAPI UNAWEZA DANGANYWA HARAKA
HIVI KAMA MMAKONDE...?
HAO JAMAA WANATAKA MAIL ADDRESS ZENU TUU ILI KESHO
AU MWAKANI MKIWA MMESAHAU WAANZE KUTUMA MADUDU-ADS
YAO..... "MAISHA AKILI-KUJITANGAZA UJANJA" HAPO WANA
WA LJS GROUP WOTE EMAIL ZETU MSHAZIUZA
BURE....NIKILETEWA ADVERT YA VIAGRA KESHO LAZIMA
TUSHIKANE MASHATI....
YAHOO MEMBER WANAVYOKUWA WENGI...WAO NDIO WANAPATA
HELA....KUJITANGAZA KWA YAHOO INAKUWA GHALI ZAIDI...
NI KAMA UNAPOKUWA NA BLOG YAKO NA WATU WANAOINGIA PALE
KUICHECK KWA SIKU WAKIZIDI KUWA WENGI NDIO UNAPATA
MADILI MAZURI YA BIASHARA YA MATANGAZO....FUNGUENI
BLOG WAKUU... MIE COMPUTER ZERO...MAMBO YA KU-UPDATE
KILA SIKU SIWEZI....PC NAGUSA MARA MOJA KWA WEEK.
LOVE U ALL
____________________________________________________________________________________
Looking for last minute shopping deals?
Find them fast with Yahoo! Search. http://tools.search.yahoo.com/newsearch/category.php?category=shopping
This is just to say hellow. Mimi nipo morogoro doing
my Msc in forestry at SUA.
I MISS YOU GUYS!
mhuji kilonzo
Oh pole sana kaka Stewart. Mungu akufariji pamoja na familia yote katika wakati huu mgumu.
Uwe na moyo mkuu na mwangalie Mungu. Ninakuombea kaka.
Kaka Kishaka asante kwa taarifa.
Wanadarasa wote poleni kwa msiba huu.
From: danstan kishaka <dkis...@yahoo.com>
Reply-To: LJSclas...@googlegroups.com
To: LJSclas...@googlegroups.com
Subject: [LJSclassof2000] Sad news
Date: Tue, 15 Jan 2008 02:52:46 -0800 (PST)
Just to inform all of you that our fellow Stewart Sabuka has lost his father, his father who was admitted at Kairuki hospital has died 2day in the morning.Stewart is currently in Finland and thats what i know so far, Lets pray for the guy
Never miss a thing. Make Yahoo your homepage.
Hello Mhuji,
That was nice. thanks for dropping a line. all the best in your studies. God bless.
From: Mhuji kilonzo <m_ki...@yahoo.com>
Reply-To: LJSclas...@googlegroups.com
To: LJSclas...@googlegroups.com
Subject: [LJSclassof2000] greetings from morogoro!!
Date: Tue, 15 Jan 2008 03:09:08 -0800 (PST)
hilly2004![]()
![]()
From: lin...@hotmail.com
To: LJSclas...@googlegroups.com
Subject: [LJSclassof2000] Re: Sad news
Date: Tue, 15 Jan 2008 15:53:14 +0300
color=#0000ff>"Do nothing from selfishness or empty conceit, but with humility of mind, regard one another as more important than yourselves;do not merely look out for your personal interests,but also for the interest of others.""So then, while we have opportunity,let us do good to all people,and especially to those who are of the household of the faith."
Philippians 2:3;Galatians 6:10
hilly2004![]()
![]()
Philippians 2:3;Galatians 6:10
Sent from Yahoo! - a smarter inbox.
hilly2004
____________________________________________________________________________________
Never miss a thing. Make Yahoo your home page.
hilly2004![]()
![]()
how great your problems are.Tell your problems how great God is"
Date: Thu, 17 Jan 2008 07:05:51 -0800
From: smwal...@yahoo.com
Subject: [LJSclassof2000] Re: Sad news- Pole sana Kaka Stewart Sabuka
To: LJSclas...@googlegroups.com
Be a better friend, newshound, and know-it-all with Yahoo! Mobile. Try it now.</a
hilly2004![]()
![]()
Date: Fri, 18 Jan 2008 04:50:38 -0800
From: roselyne...@yahoo.com
Subject: [LJSclassof2000] Re: Shukurani
To: LJSclas...@googlegroups.com
> </HTML
Philippians 2:3;Galatians 6:10
Looking for last minute shopping deals? Find them fast with Yahoo! Search.</A
Looking for last minute shopping deals? Find them fast with Yahoo! Search.</A
![]()
![]()
___________________________________________________________
Support the World Aids Awareness campaign this month with Yahoo! For Good http://uk.promotions.yahoo.com/forgood/
Stewart Sabuka, napenda kuungana na wengine waliotangulia kutoa pole zangu kwa pigo kubwa lilikupata kwa kumpoteza mzee wetu. Najua jinsi gani ulivyo na wakati mgumu sasa, ni kipindi ambacho hata strongest men unaowafahamu hapa duniani huangusha machozi kwa kupoteza wapendwa wao, lakini sisi rafiki zako tunakuombea upate nguvu za kusimama imara. Nitakutafuta kwa simu bro tuongee zaidi. Bwana ametoa na ametwaa jina lake lihimidiwe. Amen
Wanadarasa wengine natumaini hamjambo.
Best of luck1
mhuji