Ndoa iso doa miye nawatakia
haijalishi kondoa wala marangu tokea
shaka kaka ondoa Mungu atawatokea
Full baraka yenu ndoa Mungu tajalia
Pamoja tuungane ndoa iwe njema
Shetwani akione asiharibu wema
wanadarasa tuinuane ndoa si lelemama
Tom uone heri ndoa iwe salama
Wanadara
----------------
Date: Sat, 14 Sep 2013 01:24:59 -0700
From: t_ny...@yahoo.com
Subject: [LJSclassof2000] SALAAM WANA FAMILIA
To: ljsclas...@googlegroups.com
Bwana Yesu Asifiwe Wana Familia
kwa kifupi napenda kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku.
Nina furaha kubwa kuwajulisha na kuwashirikisha kuwa ndugu yenu nategemea kufunga ndoa tarehe 13 mwezi wa 10 mwaka huu jijini DAR.Mchumba anaitwa Mellba Alex Mangesho mwenyeji wa Marangu Kilimanjaro.
Naamini wengi tumeshajulishana ila naomba samahani kwa wale wachache ambao sikuweza kuwajulisha mapema ni kutokana kwa namna moja au nyingine.tatizo kubwa nililo nalo kazi yangu ni ya field kila wakati kuwa porini...sasa kuja mjini shughuli..
Kwa heshima na taadhima ningependa kuchukua nafasi hii kuweza kuwakaribisha nyote wana familia katika shughuli hii kwa mliopo hapa nchini na mliopo nje ya nchi
KANISA; Usharika wa Kijitonyama
UKUMBI; Hekima Garden- upo upande wa chini ya ITV zamani ilikua shule.
TAREHE; 13-10- 2013
JIJINI DAR
asanteni naomba kuwakilisha
ni mimi
Thomas E. Nyagawa
Mwenyekiti
kwa mawasiliano 0784 679929
0754 679929
0715 679929
--
--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "LJS Class of 2000 (O~Level 1997 and A~Level 2000)" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to ljsclassof200...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Hongera Sana ,tunakutakia baraka za Mungu ktk safari hiyo ya ndoa utayoianza.
Rhobi Mukami <rhobi...@gmail.com> wrote:
>Mwenyekiti wangu,
>
>Nakutakia kila la heri.
>
>Tuko PAMOJA.
>
>Mama Mwenyekiti.
>
>Rhobi Sandra Mukami
>Jeremiah 29:11 - For I know the plans I have for you,” declares the LORD, “plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.
>
>On Sep 15, 2013, at 9:37 PM, Nuys <nuya...@yahoo.com> wrote:
>
>> Hongera Sana ,tunakutakia baraka za Mungu ktk safari hiyo ya ndoa utayoianza.