Wapendwa wana LJS
Nimatumaini yangu kuwa mu buheri wa afya!
Hapa ninawaletea hali halisi ya michango ya Dr. Alpha King' kwa ajili ya rejea yenu. Kama mtakavyoona, hali bado si nzuri sana kwa sisi ambao ni wana LJS wenzake hasa ikizingatiwa kuwa siku zimekaribia sana. Mnaombwa kuendelea kuta pledges zenu na pia kutoa michango yeniu ikiwa ni upunguza ahadi zenu ambazio mliahidi hapo awali.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, kikao last week hakikufanyika na hivyo wajumbe mlio wengi natumai mwenyekiti kwa nafasi yake amekwisha wajulisha kuwa kikao kitakuwepo siku ya jumamosi pale mama Kamche kuanzia saa kumi na mbili
jioni.
Upatapo ujumbe huu tafadhali msihii na mwingine ambaye hajapata taarifa hii
(Sent on behalf of chairman GQ and his Committee)
Mbarikiwe!
Konga, Bernard (BSc, MSc. Economics)
Assistant Director - Planning and Budgeting
Department of Policy and Planning
Ministry of Health and Social
Welfare
P.O. Box 9083
Dar es Salaam, Tanzania