Salaam za upendo toka SUA

11 views
Skip to first unread message

Lilian Nsyenge

unread,
Nov 7, 2012, 7:28:06 AM11/7/12
to Classmates Seminary
Wapendwa wanadarasa,
Ni matumaini yangu hamjambo mkiendelea vema na  shughuli zenu za kila siku.

Mimi na familia yangu hatujambo twamshukuru Mungu.

Niwape pole wote mliofikwa na msiba katika familia zenu Mungu awafariji daima. Shida na fadhaa zetu anazijua sana na yu tayari kutusaidia.

Niwape hongera wote mlooa na kuolewa na wale mloijaza dunia kwa kupata watoto Mungu awawezeshe kuwalea katika kweli yake na wanandoa mdumu katika ndoa takatifu.

Ni muda mrefu sijasikika mtandaoni na nimepitwa na mambo mengi lakini tuko pamoja.
Kwa sasa nipo SUA kwa Shahada ya Uzamili. Karibuni sana.

Niwatakie baraka za Mungu katika kila kazi na maisha yenu kwa jumla.

Wenu katika Kristo,

Lily

Roselyne Alphonce

unread,
Nov 7, 2012, 7:33:02 AM11/7/12
to ljsclas...@googlegroups.com
Hongera Lili, Karibu SUA. upo department gani?

From: Lilian Nsyenge <lin...@hotmail.com>
To: Classmates Seminary <ljsclas...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, November 7, 2012 1:28 PM
Subject: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA

--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000

Hillary Rite

unread,
Nov 7, 2012, 7:38:43 AM11/7/12
to ljs 2000

Hongera sana na salamu kwa wote. Tuko pamoja.
 
Regards,
 
Hillary Rite

Subject: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA
Date: Wed, 7 Nov 2012 15:28:06 +0300

Lilian Nsyenge

unread,
Nov 7, 2012, 11:20:59 AM11/7/12
to Classmates Seminary
Asante Rose. Nipo DSI naishi new hostel.

Date: Wed, 7 Nov 2012 04:33:02 -0800
From: roselyne...@yahoo.com
Subject: Re: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA
To: ljsclas...@googlegroups.com

Respikius Martin

unread,
Nov 7, 2012, 12:34:22 PM11/7/12
to ljsclas...@googlegroups.com
Dada Lili,
Karibu SUA. Nikija nitakutafuta. Mungu akutangulie ktk masomo yako
Ahsante

Respikius Martin
Department of Agric. Educ. & Extension
Sokoine University of Agriculture
P.O.Box 3002, Morogoro, Tanzania
Alternate email: rma...@suanet.ac.tz
 
Current
Graduate Student
School of Environment and Natural Resources
Ohio State University - USA
113 Ag Admin Bld 2120 Fyffe Rd
Columbus, OH 43210
Mob.  +16146073627
 
From: Lilian Nsyenge <lin...@hotmail.com>
To: Classmates Seminary <ljsclas...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, November 7, 2012 10:20 AM
Subject: RE: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA

Asante Rose. Nipo DSI naishi new hostel.

Date: Wed, 7 Nov 2012 04:33:02 -0800
From: roselyne...@yahoo.com
Subject: Re: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA
To: ljsclas...@googlegroups.com

Hongera Lili, Karibu SUA. upo department gani?

From: Lilian Nsyenge <lin...@hotmail.com>
To: Classmates Seminary <ljsclas...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, November 7, 2012 1:28 PM
Subject: [LJSclassof2000] Salaam za upendo toka SUA

Wapendwa wanadarasa,
Ni matumaini yangu hamjambo mkiendelea vema na  shughuli zenu za kila siku.

Mimi na familia yangu hatujambo twamshukuru Mungu.

Niwape pole wote mliofikwa na msiba katika familia zenu Mungu awafariji daima. Shida na fadhaa zetu anazijua sana na yu tayari kutusaidia.

Niwape hongera wote mlooa na kuolewa na wale mloijaza dunia kwa kupata watoto Mungu awawezeshe kuwalea katika kweli yake na wanandoa mdumu katika ndoa takatifu.

Ni muda mrefu sijasikika mtandaoni na nimepitwa na mambo mengi lakini tuko pamoja.
Kwa sasa nipo SUA kwa Shahada ya Uzamili. Karibuni sana.

Niwatakie baraka za Mungu katika kila kazi na maisha yenu kwa jumla.

Wenu katika Kristo,

Lily
--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000

--
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/LJSclassof2000

Lilian Nsyenge

unread,
Nov 15, 2012, 9:17:33 AM11/15/12
to Classmates Seminary
Asante kaka.Wakati mzuri.

Date: Wed, 7 Nov 2012 09:34:22 -0800
From: res...@yahoo.com
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages