REST IN PEACE MY BROTHER STEVE 'GONE TO SOON' KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA. THIS REMIND ME OF OLE LEMOMO ALIANZA KUJISIKIA VIBAYA ASUBUHI NA KUZIDIWA BY MCHANA HATUKUWA NAYE(2000). SISI TUWAPITAJI TUU HAKUNA MJI UDUMUO. MMETANGULIA TUNAFUATA
MAY GOD THE ALMIGHTY BLESS YOU ALL MY BROTHERS AND SISTERS.
Festo Joseph Kandonga
|
Poleni classmates kwa msiba huu!
Nilipokeahabari hizi kwa kushtuka ila kwa kuwa limeshatokea kwetu ni huzuni.....poleni tena, pole familia ya Stephen, Mungu atupe faraja yake.
Kaka yetu pumzika kwa amani!!!
Amos "Do nothing from selfishness or empty conceit, but with humility of mind, regard one another as more important than yourselves;do not merely look out for your personal interests,but also for the interest of others.""So then, while we have opportunity,let us do good to all people,and especially to those who are of the household of the faith." Philippians 2:3;Galatians 6:10 --- On Wed, 1/16/13, festo kandonga <festok...@yahoo.co.uk> wrote: |
shaloom wapendwa!
misiba yote hushtua na kuuzunisha lakini inapotekea ghafla kama kwa kaka yetu mpendwa steven inashtua na kuuzunisha zaidi..
Lakini kwa kuwa sisi ni wakristo tunapaswa kuwa na imani kwamba mwenzetu amerudi nyumbani kwenye makao ya milele ambako sote tutaenda ila kwa vipindi tofauti.
Mungu wetu ambae ni alfa na omega aendelee kutupa faraja katika kipindi hiki kigumu..AMEN!
Mungu awabariki wote..
|
REST IN PEACE BROTHER STEPHEN NGOWI. TUTAKUKUMBUKA DAIMA AMEN |
--- On Thu, 1/17/13, bernard konga <kon...@yahoo.com> wrote: |
REST IN PEACE BROTHER STEPHEN NGOWI. TUTAKUKUMBUKA DAIMA AMEN --- On Thu, 1/17/13, bernard konga <kon...@yahoo.com> wrote: |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Dada esuphat Mungu na akupe moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Pole sana dada Esupert, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu Eng. Danstan A. Kishaka Regional Secretariat Engineer, MBEYA --- On Wed, 2/13/13, Mwakapeje Mrs <smwal...@yahoo.com> wrote: |
|
Dada esuphat |
|
|
|
|
|
|