Code Jam Africa

1 view
Skip to first unread message

Arnold Minde

unread,
Mar 15, 2010, 10:56:00 AM3/15/10
to koding
Wakuu,

Kuna mashindano ya koding hapa ambayo yametayarishwa na google:
http://code.google.com/codejam/africa/

Nimepata taarifa late kidogo.

Lakini bado kuna masaa kadhaa ya kuingia, round hii inaisha saa 9
usiku.

Hii ni qualification round tu, unahitaji point kadhaa tu ili kuingia
kwenye final, kwa hiyo hujachelewa.


Arnold.

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages