Google App Engine (GAE)

7 views
Skip to first unread message

Arpintim

unread,
Jun 25, 2009, 6:07:54 AM6/25/09
to koding, aro...@attt.co.tz, joram...@hotmail.com, kkc...@hotmail.com, arok...@hotmail.com, macs...@hotmail.com, tum...@hotmail.com
Siku nyingi sana wandugu. Natumaini mpo salama.

Kwa ambao hawajasikia kuhusu GAP, ni kwamba sasa unaweza kuhost site
yako kwenye miundombinu ya google.

http://code.google.com/appengine/

Ni bure kabisa kwa kuanzia, na kama uko chini ya free quota
utilization of resourses. Unaweza kuangalia free quotas ni kiasi gani
hapa: http://code.google.com/appengine/docs/quotas.html . Na kama
unavyoweza kuona mpaka umalize free quota zako, application lazima iwe
imefanikiwa sana.

Na ukivuka free quota, waweza kununua resourse kadiri unavyotumia.
Hosting sikuhizi kawaida unanunua resourses (hard disk space,
bandwidth, etc.) hata kama hutumii zote. On GAE, unanunua kadiri
unavyotumia. Na ukiangalia bei zao hapa http://code.google.com/appengine/docs/quotas.html
ni rahisi zaidi sana sana kuliku unavyoweza kupata kwa host yeyote
yule duniani (niko tayari kusahihishwa).

Kwa faida za kuhost on GAE, cheki: http://code.google.com/appengine/whyappengine.html

Moja ya down sides kwa sasa ni kwamba programming language supported
on GAP ni Python na Java tu. Kwa hiyo huwezi kutumia PHP au ASP au
ASP .Net.

So for your next innovation on the web, you may want to consider GAE.
In my opinion it gives you a nearly free ticket to the world of Cloud
Computing ( http://en.wikipedia.org/wiki/Cloud_computing ).

I am test-driving GAE using Java. Kama kuna mtu amaeshajaribu hivyo au
ana-mpango wa kujaribu hivyo, ni vizuri tukashirikishana.

Siku njema.

Arnold Minde

unread,
Jun 26, 2009, 4:10:16 AM6/26/09
to John Sausi, kod...@googlegroups.com, aro...@attt.co.tz, joram...@hotmail.com, kkc...@hotmail.com, arok...@hotmail.com, tum...@hotmail.com
Thanks Sausi.

Nilitaka kutest Azure wakati fulani, lakini ilikuwa inataka uwe na
Vista. Lakini, lazima ntatafuta mda niichungulie.

Arnold.

2009/6/26 John Sausi <macs...@hotmail.com>:
> Hi All,
> Thanks Anord for the link, nimefurahi sana umeongelea clouding computing,
> naona kwa sasa inakuja juu sana. Now people are not thinking of buying
> expensive servers and other infrustructres. Microsoft pia ametoa free
> service for cloud computing for microsoft products kama ASP.NET. Kwa sasa
> unaweza jiunga bure, ila inachukua siku moja(24hrs) kuwa activate
> watakutumia token ambayo utatumia kuActivate, kwa hiyo kwa wale wenye
> kuprogramm in ASP.NET and you want to test tembelea hii link
> http://www.microsoft.com/azure/default.mspx
> John
>
>> Date: Thu, 25 Jun 2009 03:07:54 -0700
>> Subject: Google App Engine (GAE)
>> From: arnold...@gmail.com
>> To: kod...@googlegroups.com
>> CC: aro...@attt.co.tz; joram...@hotmail.com; kkc...@hotmail.com;
>> arok...@hotmail.com; macs...@hotmail.com; tum...@hotmail.com

> ________________________________
> Lauren found her dream laptop. Find the PC that’s right for you.

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages