Naitwa Max Chinguile, nimemaliza miaka kadhaa iliyopita Chuo cha Ardhi Dsm miaka kadhaa iliyopita katika fani ya upimaji ardhi. Kwa yeyote ambaye atahitaji kupima ardhi yake (upimaji wa aina zote) naomba tuwasiliane. Hata kwa yule atakaehitaji kuniajiri pia nipo tayari.
Asanteni.
Max - 0756 662593, 0716 667135.