Download Katika

2 views
Skip to first unread message

Argenta Sugden

unread,
Aug 5, 2024, 1:08:56 PM8/5/24
to isvipire
Arekatikais a caste found in Andhra Pradesh which falls reservation category BC-D. Across India we are nationally called as Khatiks.More than 10 States in India

Khatiks fall in SC reservation category, but unfortunately in Andhra Pradesh we are in BC-D catergory.

Many our commnunity people are lacking in education ,employment opportunities etc and some are still hooked to community business. In district and villages

the situation is more worse.

Its rather unfair to have different reservation categories for same community roots ,we request the state goverment and central government to have uniformity

in reservation system across India or give us fairer reservation system.

Arekatika porata samthi has given representations , conducted variuos programs and brough to the notice of AP state legislature and continuosly striving to get reservations

and federation which helps in development of our community



PLEASE VOTE FOR CHANGE



Your vote is valuable ,



AREKATIKA PORATA SAMITHI

ANDHRA PRADESH

INDIA


Mtihani wa kuwekwa katika darasa sahihi wa Kiingereza kama Lugha ya Pili (ESL, English as a Second Language) unahitaji kufanywa na wanafunzi ambao Kiingereza si lugha yao asili. Mtihani wa kuwekwa katika darasa sahihi wa ESL una sehemu 2. Hakuna kikomo cha muda wa kufanya mtihani huo. Kwa wanafunzi wengi, mtihani huo kwa kawaida huchukua kati ya saa 2 unusu hadi saa 3. Wanafunzi hawaruhusiwi kuwa na mkalimani wakati wa kufanya Mtihani wa Kuwekwa katika Darasa Sahihi wa ESL.


Utapewa alama ya mtihani wa ACCUPLACER utakapoukamilisha. Ripoti yako ya kuwekwa katika darasa sahihi na mapendekezo ya kozi yatatumwa kwa anwani yako ya barua pepe ya TCC baada ya karibu siku 3 za kazi, baada ya kuhakikiwa kwa sampuli yako ya uandishi.


Baada ya kupokea vitu hivi, panga miadi ya kukutana na mshauri wa chuo ili ujiandikishe katika madarasa yanayofaa. Hakikisha umebeba ripoti yako ya kuwekwa katika darasa sahihi na mapendekezo ya kozi unapohudhuria miadi yako.



Sampuli ya Maswali ya Mtihani wa Kuwekwa katika Darasa Sahihi


Marekani ni mshirika muhimu katika azma ya Kenya ya kutimiza Ruwaza yake ya 2030, lakini ni taarifa chache ambazo Wakenya wanaweza kupata ili kuwawezesha kutathmini thamani ya ushirikiano huu katika maisha yao ya kila siku. Ripoti hii inachunguza faida za ushirikiano kati ya Kenya na Marekani katika ukuaji na ustawi wa Kenya kwa msingi wa mtazamo wa jamii nzima. Kwa pamoja, mawakala wa serikali ya Marekani, mashirika na watu binafsi huchangia takriban Dola bilioni 3.05 kila mwaka (KSH B 310) katika maendeleo ya Kenya.


Mbali na faida hizi za kifedha, ushirikiano wa Kenya na Marekani huchangia katika ukuaji na ustawi kupitia njia nyingine zinazoweza kuonekana. Msaada wa Marekani unaolenga afya hausaidii tu kuokoa maisha ya watu, bali pia unachangia katika uzalishaji wa kiuchumi wa Kenya kadiri watu wanavyoendelea kufanya kazi kwa muda mrefu zaidi. Kama mtoaji mkubwa zaidi wa fedha zinazohusiana na HIV/UKIMWI (Dola bilioni 4.5 kati ya 2009-2018), Marekani imehamasisha rasilimali na utaalamu wa kusaidia wafanyakazi wa afya wa mstari wa mbele katika juhudi zao za kupambana na janga la UKIMWI. Tunakadiria kuwa juhudi hizi zimesaidia kuokoa maisha ya watu zaidi ya milioni moja hadi kufikia leo.


Katika hali mango zinakaa pamoja kila atomu mahali pake. Tunasema: Dutu ni imara. Dutu katika hali hii ina umbo, mjao na uzani maalumu.Yaani maada katika hali ya mango huchukua ujazo na umbo lisilobadilika, pamoja na chembe zake ambazo ni atomu, molekuli na ioni zikiwa zimeshikamana kwa pamoja katika eneo moja.


Katika hali kiowevu atomu zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Tunasema dutu ni kama majimaji. Dutu katika hali hii ina mjao na uzani maalumu lakini haina umbo. Kiowevu chakubali kila umbo la chombo kinamomwagwa. Maada katika hali ya kiowevu huwa na ujazo usiobadilika, lakini huwa na umbo linalobadilikabadilika kutokana na chombo ilichowekwa. Chembe zake ziko karibukaribu lakini ziko huru.


Katika hali ya gesi atomu hazishikwi pamoja, zaelea kwa mwendo huria. Atomu na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo zimewekwa. Dutu katika hali hii ina uzani lakini haina umbo wala mjao kamili. Maada katika hali ya gesi ina ujazo pamoja na umbo ambalo hubadilikabadilika, vyote vikijibadilisha ili kujaza chombo ilichowekwa. Chembe zake haziko karibukaribu wala kukaa mahali pamoja bali huwa huru zikizungukazunguka katika sehemu zilipowekwa.


Mfano ambao hueleweka kwa urahisi ni maji. Maji ni dutu ileile inayofanywa na molekuli za H2O zenye atomu moja ya oksijeni na atomu mbili za hidrojeni. Maji tunajua kwa umbo tatu za kawaida (hali kiowevu kati ya sentigredi 1-99), barafu (chini ya sentigredi 0 ambayo ni hali mango) na mvuke (hali ya gesi, juu ya 100C).


Tulianza kwa kujibu swali: Nini hufanyika katika kuzaliwa upya ?Wakati uliopita kwa maelezo mawili 1) Kuzaliwa upya si kupata dini mpya bali uzima mpya 2) Kuzaliwa upya si kuthibitisha tu uungu ndani ya Yesu bali ni kushuhudia uungu ndani yako.


Nikodemo alikuwa mfarisayo na alikuwa mengi kuhusu dini. Lakini hakuwa na uzima wa kiroho. Aliona kazi ya kiuungu ya Mungu ndani ya Yesu lakini hakushuhudia haya ndani yake.Tukiweka maelezo yetu pamoja tangia muda uliopita,kile Nikodemo alikihitaji, Yesu akamwambia ; ni uzima mpya wa kiroho ambao hupatiwa kwa njia ya kiungu kupitia Roho mtakatifu. Kinachofanya uzima mpya kuwa wa kiroho na wa kiungu ni kuwa ni kazi ya Mungu Roho. Ni kitu ambacho ni zaidi ya maisha ya Asili ya mwili wa moyo wetu na ubongo.


Basi tuna uzima kwa kuunganishwa na Mwana wa Mungu ambaye ni uzima wetu na tuna uzima huo kwa kazi ya Roho. Tulimalizia basi kwamba kazi ya Roho kwa huisho ni kutia uzima mpya kwetu kwa kutuunganisha na kristo. John Calvin anaifafanua hivi, Roho mtakatifu ndiye kiunganishi ambacho kristo hutuunganisha nayo kwake kikamilifu? (Chuo cha III, 1, 1)


Milioni ya watu wamefunzwo kuwa kubatizwa kwao kuliwafanya kuzaliwa mara ya pili.Kama hii si kweli, basi ni balaa kubwa ulimwenguni. Na mimi siyaamini kuwa ni kweli. Sasa basi Kristo anamaanisha nini?


Pili, ufananisho na upepo kwenye mstari wa 8 ungeshangaza kama kuzaliwa mara ya pili kungeunganishwa imara na ubatizo wa maji. Yesu anasema, upepo huvuma upendako, na na sauti yake waisikia,lakini hujui unakotako wala unakokwenda; kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa Roho.Kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa kwa Roho. Hii ni kuonekana kusema kuwa Mungu yuko huru kama upepo kufanya huisho. Lakini kama itafanyika kila wakati mtoto akuapo haitaonekana kuwa kweli. Kwa sababu hii upepo ungezuiliwa katika sakramenti.


Hatimaye maelezo hayo kwenye mstari wa 10 yaturejesha kwenye agano la kale kwa chimbuko, tunapata kuwa maji na Roho zina uhusiano wa karibu katika ahadi za agano jipya,hasa Ezekiel 36. Basi wacha tutazame hapo pamoja.Yaliomo hapa ndiyo msingi wa sehemu ya ujumbe uliosalia.


Ezekieli anasisitiza kile Mungu atafanyia watu wake anapowarejesha kutoka kwa nchi geni ya Babiloni.Matokeo hapa ni makubwa zaidi siyo tu kwa wana wa Israeli; kwa kuwa Yesu anadai kulinda agano jipya katika damu yake kwa wote wamtumainio (Luka 22:30) na hili ni andiko ambalo ni la ahadi za agano jipya kama katika Yeremia 31:31. Tusome pamoja Ezekieli 36:24-28:


Maana nitawatwaa kati ya mataifa nami nitawakusanya na kuwatoa katika nchi zote na kuwarudisha katika nchi yenu wenyewe.nami nitawanyunyuzia maji safi,nanyi mtakuwa safi, nitawatakaseni na uchafu wenyu wote, na vinyago vyenu vyote. Nami nitawapa ninyi moyo mpya,nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu nami nitawapa moyo wa nyama. Nami nitatia roho yangu ndani yenu, na kuwaendesha katika sheria zangu nanyi mtazishika hukumu zangu, na kuzitenda. Nanyi mtakaa katika nchi ile niliowapa baba zenu, nanyi mtakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wenu.


Hebu sasa tuweze kuhitimisha wiki hizi mbili. Ni nini kinachotendeka katika kuzaliwa upya? Roho mtakatifu kwa njia ya kiungu hutupa uzima mpya wa kiroho, kwa kutuunganisha na Yesu Kristo kwa njia ya imani. Kwa njia nyingine, Roho hutujumulisha na Kristo mahali pana utakaso wa dhambi zetu na kubadilisha ugumu na kutoitika kwa moyo mwororo ambao unamthamini Yesu kuliko vitu vyote na kubadilishwa kwa uwepo wa Roho kuwa aina ya moyo wa unaopenda kutenda mapenzi ya Mungu. (Ezekieli 36:27).


Matukio hayo pia yamelalamikiwa na wavuvi wa Dagaa, ambao huenda kuvua usiku. Migogoro kama hii miongoni mwa jamii za wavuvi imekuwa ikikithiri kutokana na kupungua kwa Samaki katika ziwa hilo kunakotokana na uvuvi wa kupita kiasi na uvuvi haramu, kwa mujibu wa Mamlaka ya Huduma ya Uvuvi ya Kenya (KeFS).


Ziwa linahusisha uvuvi wa spishi nyingi na nyingi zinajulikana, lakini Dagaa (Omena), Sangara na Sato ndizo zenye umuhimu mkubwa kiuchumi. Licha ya hili, kumekuwa na mwelekeo wa kupungua katika uvuaji wa samaki hawa watatu kwa miaka.


Takwimu kutoka Mamlaka ya Huduma ya Uvuvi ya Kenya zinaonyesha kuwa uzalishaji wa samaki katika kaunti zote zinazopakana na Ziwa Victoria isipokuwa Kaunti ya Siaya umepungua ikilinganishwa na viwango vya 2013. Kaunti ya Homa Bay, ambayo ni sehemu kubwa zaidi ya ziwa, haijahifadhiwa. Kati ya 2013 na 2022, uzalishaji wa kaunti ulipungua kutoka tani 80,150 hadi 50,053.


Magunda anasema kwamba ingawa ziwa halina mipaka, sheria za BMU huongoza jinsi wavuvi wanavyofanya kazi. Sheria zinasema wazi kwamba ikiwa mtu ameweka mtego wake, mtu mwingine anahitaji kwenda mbali mita chache kutoka kwao kwa manufaa ya kila mmoja.


Anabainisha kuwa licha ya eneo dogo la uvuvi, mtu anaweza kupata angalau boti 15 za kuvulia Dagaa, mali ya mtu mmoja katika eneo moja. Katika eneo linalokaliwa na mvuvi mmoja wa Sangara, kunaweza kuwa na hadi wavuvi 40 wa Dagaa katika sehemu moja.


Zaidi ya hayo, aina ya nyavu zinazotumika kuvua Dagaa huleta changamoto kubwa kwa wavuvi wa Sangara, kwa sababu ukubwa wa matundu kwenye nyavu huruhusu kuvuliwa kwa Sangara ambao hawajakomaa, na kusababisha uhaba wa spishi katika ziwa hilo.

3a8082e126
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages