Orange gas ni gas salama kabisa kwa ajili ya
matumizi ya nyumbani, hotelini kwa kupikia au kwa ajili ya kupaza joto
nyumbani au kwenye banda la vifaranga na kadhalika.
Orange gas
sasa inapatikana Makao makuu ya Tanzania (Dodoma) na ofisi zetu kuu
zipo Kilimo Kwanza. Kwa mahitaji binafsi au kwa anayetaka kuwa wakala
wasiliana nasi sasa au karibu ofisini kwetu "Kilimo Kwanza" barabara ya kuelekea Dar es salaam karibu na Kisasa.
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Orange gas is
the safest cooking gas that is suitable for home uses, hotels &
restaurants uses.. it can also be used for heating purposes i.e
Orange gas
is now available in the capital city of Tanzania (Dodoma) and our head
offices are at Kilimo Kwanza. For individual uses or if you have
interests in becoming our agent please visit our offices at "Kilimo Kwanza", Dar es salaam road close to Kisasa.
