USIKATE TAMAA

1 view
Skip to first unread message

DILEX BUSINESS SOLUTION

unread,
Aug 19, 2019, 3:38:58 AM8/19/19
to DILEX BUSINESS SOLUTION
KUTOKA DILEX BUSINESS SOLUTION

Inaandikwa na alex Mr motivation

Nilipokuwa mdogo nilikuwa namuona MAMA akichambua maharage, alikuwa anaweka
 maharage mazima kwenye sufuria ya kupikia, na maharage mabovu alikuwa anayatoa kisha anayatupa mbali jalalani.!
Chakushangaza.. mvua ikinyesha maharge yale yale mabovu ndio yanakuwa ya kwanza kuota na kuchepua..
Yalitupwa yakiwa mabovu yasiyofaa.. lakini yanaota.. kisha yanatoa maharage mengine mazima na bora zaidi kuliko 
yalivyotupwa mwanzo yakiwa mabovu.!

Hii imenifanya nijifunze kuwa ni muda/wakati tu utakao amua hatma yako.. Pia jinsi Mungu anavyokuaona ni 
tofauti kabisa na watu wanavyokuona..
Inawezekana ukaonwa/ukajiona kama maharage mabovu leo.. lakini hakika mvua ya Mungu ikikunyeshea 
UTAOTA na kuwa wa thamani na KUZAA/KUTENGENEZA WATU WENGINE BORA ZAIDI YA WEWE..
Inahitaji wakati tuu
Uvumilivu..
Na kujua kusudi la Mungu na mawazo ya Mungu ni tofauti na yawanadamu..
USIKATE TAMAA WALA USIVUNJIKE MOYO
YOUR RAIN SEASON IS COMING
Wewe ni bora na unafaa sana.!
Kila jambo chini ya jua lina wakati wake haijalishi jinsi ulivyo leo.
Network is better than Notwork
Sambaza upendo

@Egineer mr motivation
DILEX BUSINESS SOLUTION
Karibu Sana DILEX BUSINESS SOLUTION kwa kazi zote za Graphics design ... Tuna design Logo, Company profile, kwa wajasiliamali, Matangazo ya mtandaoni, Business card, rollup banner,catalog, hotel & restaurant menu, business proposal,company profile na vingine vingi, Huduma zetu sisi TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO
Call: 0716-762015 OR 0738-635592, WhatsApp no: 0716-762015
DILEX Tuna aminika kufanya online design kwa Kwa bei zakawaida kabisa kwa asilimia 100% karibuni sana DILEX BUSINESS SOLUTION

Kama una wazo la kufanya biashara hapa Tanzania na ungependa kumiliki kampuni yako au jina la biashara lako, huduma yetu ni kukusaidia kufaniki
sha usajiri wa biashara yako. Tutumie message yenye neno "KAMPUNI"  Whatsapp namnba 0716762015 kupata maelezo zaidi juu ya huduma yetu.

SASA NAHITAJI KUTENGENEZA COMPANY PROFILE NA KUSAJIRI KAMPANI YANGU,NITAWAPATA WAPI DILEX BUSINESS SOLUTION*??
Tumia hayo mawasiliano hapo chini kuwasiliana na Dilex business solution au fika offisini kwetu Tunapatikana, KIZOTA-KIGAMBONI-DAR ES SALAAM;

Thanks
Contact us DILEX BUSINESS SOLUTION
WHATSAPP GROUP : TUCHEKI 0716762015
FACEBOOK PAGE: Dilex Business solution
FACEBOOK PAGE:Maki Inspire
Tell phone No: 0716762015
WHATSAPP :0716762015
Instagram: Dilex Business Solution










usiogope! Biblia imeandikwa USIOGOPE Mara 365. Hii inamaana kila siku Mungu anakwambia usiogope.
Maisha mazuri sio lazima yawepo katika vitu
vizuri. Maisha rahisi na halisi ndio masiha
mazuri





Liwalo na liwe.
Hii ni kauli ya kuashiria kutojali watu wengine na kujali maslahi yako tu. Kauli hii inaweza kukufanya uchukue hatua ambayo utaijutia sana baadae. Acha kutumia kupendo, ii na acha kufanya mambo yanayokunufaisha wewe tu na kuwaumiza wengine.



Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages