MR MOTIVATION>>MAKALA MPYA YA LEO

0 views
Skip to first unread message

maki inspire group

unread,
Sep 30, 2017, 6:33:51 AM9/30/17
to maki inspire

*Habari*
*Ukifuatilia vitabu vyote vya dini, ambavyo ninaamini Kwa imani za tulio wengi tunaishi Kwa imani hizo, imeandikwa "Mwenyezi Mungu alimuumba mwanadamu aje aitawale dunia na kila kilichopo ndani yake*"
Hivyo ni dhahiri kuwa kila mwanadamu aliandaliwa kuwa kiongozi, alipewa nguvu na alipewa mamlaka. Kwa nini leo unaishi maisha ambayo hauna furaha nayo?
Kama matajiri wote duniani wamepewa masaa 24 na siku saba za wiki kama wewe, wana Mikono miwili, miguu miwili na kichwa kimoja kama wewe. Kwa nini wewe leo uishi maisha ya kimasikini? Kumbuka hauwezi kurudisha mda nyuma ukarekebisha makosa uliowahi kuyafanya nyuma ila una nafasi ya kuanza sasa ili kutengeneza mwisho wako ulio mwema.
Kanuni kubwa ni kuhakikisha unaendelea kupigania unachokiamini kila siku. Jipatie changamoto mwenyewe ili kutengeneza dunia yako unayoihitaji.
AMKA!!! KUWA CHANYA

*NINI MAONI YAKO KUHUSU HUDUMA ZETU, TUAMBIE NINI KIONGEZWE AU KIPUNGUZWE TOKA KWETU KUJA KWAKO, TOA MAONI YAKO*

*USISAHAU KUWA KWARIBU NA SISI KWA KULIKE FACEBOOKPAGE YETU INAITWA>> MAKI INSPIRE*

*BLOG YETU makinspire.blogspot.com*

wenu

*@mr motivation*

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages