Mke/Mume mwema.

28 views
Skip to first unread message

bonnyluv

unread,
Aug 4, 2011, 5:33:28 AM8/4/11
to iman...@googlegroups.com
WanaImaniyetu,
Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili..Je ukiwa umeokoka yastaili kuoa/kuolewa na "mpendwa" mwenzako?..
Na je ukioa/kuolewa na ambaye akuoka(na ataki) itakuathiri vipi kiimani??

Honorati Manang

unread,
Aug 6, 2011, 12:04:23 AM8/6/11
to iman...@googlegroups.com
Bonnyluv,

Swali lako ni zuri sana. Kwanza kwa uwelewa wangu, ndege wanao fanana
huruka pamoja; hata marafiki tabia zao hufanana. Hivyo nategemea
kufanana kitabia kati ya mke na mume zaidi hata ya marafiki au ndege.
Hata Biblia imeagiza kumuoa mtu anaoamini.

Soma 2Wakorintho 6:14 "Msifungwe nira pamoja na wasioamini kwa jinsi
isivyo sawasawa kwa maana kuna urafiki gani kati ya haki na uasi? tena
pana shirika gani kati ya nuru na giza?."

Natumaini nitakuwa nimejibu swali lako.

bonnyluv

unread,
Sep 18, 2011, 8:09:00 AM9/18/11
to iman...@googlegroups.com
Vipi kaka Hono,
Ubarikiwe kwa majibu yako..
Tunahija kuelimishwa kuhusu imani ya dhati..
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages