Ushiriki wa mwanamke katika kuhubir, Biblia inasemaje?

17 views
Skip to first unread message

Honorati Manang

unread,
Aug 4, 2011, 5:03:04 AM8/4/11
to iman...@googlegroups.com
Ndugu wana imaniyetu naomba msaada kuhusu somo hilo hapo juu. Ninapata
mkanyiko kwani kuna kundi linalosomea ni sahihi kwa wanawake kuhubiri
na lingine linasema si sahihi!

Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu hili kwa undani zaidi.

bonnyluv

unread,
Aug 4, 2011, 5:25:26 AM8/4/11
to iman...@googlegroups.com
Sio mtaalam sana wa biblia lakini sidhani kama kuna kifungu chochote kinacho muondoa mwanamke kuhubiri injili.Mtu yeyote anaweza shukiwa na maono au roho mtakatifu au upeo na kuanza ubiri injili.Japo kuwa dini zingine zina zuia.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages