Katibu wa Baraza,
Nakutumia Taarifa ya Mwaka 2014ya Mapato na Matumizi ya Usharika wetu na Draft Bajeti Makisio ya Mapato na Matumizi ya mwaka 2015.
Ni kamati ya ustawi wa jamii tu ambayo iliwakilisha Mapendekezo yao. Kamati ya fedha imelazimika kutumia trend analysis katika kuandaa Makisio ya Mapato na matumizi ya mwaka 2015 kutokana na uzoefu wa miaka iliyopita. Naituma kwa Wazee wote ili waweze kuipitia na kutoa maoni yao.Vikundi vyenye akaunti kama Kwaya Kuu, kwaya ya Uinjilist, Vijana na Felowship hawajawasilisha taarifa zao za mapato na matumizi kupitia Kamati husika .
Stanley Mwabulambo
Cellular phone :+255-784/767-601299