Bwana Yesu asifiwe wapendwa. Pokea viambatanisho vilivyomo kwenye barua pepe hii ili kuweza kukusaidia katika kutengeneza bajeti na pia kuwasaidia wengine kutengeneza.
Kwa wale wa baraza lililopita kama utaona kuwa haya material yanakuwa ya msaada basi endelea kujifunza na kuyatumia.
Regards
Alpha