Download Nyimbo Mpya Wiki Hii |TOP|

0 views
Skip to first unread message

Xavier Rockiescavseagles

unread,
Jan 25, 2024, 5:11:53 PM1/25/24
to hardreslickres

Ikiwa imetimia wiki ya kwanza tangu mwezi Julai uanze wanamuziki kutokea nchini Tanzania wamekataa kuchukua likizo kwa kuendelea kuporomosha na kuachia nyimbo nzuri ambazo zitaburudisha mashabiki na wapenzi wa muziki.

download nyimbo mpya wiki hii


Download ✑ ✑ ✑ https://t.co/ANi4YO9H7O



"Na siku hizi dili zangu mi ni doladola, huwezi kunikuta kwenye daladala" huo ni mojawapo kati ya mstari uliopo kwenye mdundo huu mpya wa Country Boy uliotoka Julai 4 mwaka 2021 na kutayarishwa na Bboy Beats. Kwenye wimbo huu Country Wizzy ambaye yuko chini ya Konde Music anatamba kwa kuonesha ni kiasi gani muziki wa Hip-hop upo juu na ni raha kiasi gani anajisikia kuutumikia muziki wa Hip-hop.

Unaanzaje kuacha kusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz? Bila shaka hutaki kuacha kusikiliza kibao hiki ambacho Diamond platnumz anaweka dhahiri shahiri upendo alionao kwa mpenzi wake na anatumia maneno mazuri kumwaminisha mpenzi wake kuwa hatoweza kumuacha.

Hello Boombuddies na wapenda muziki wote. Wiki mpya kabisa imeanza na bila shaka utakuwa na kiu ya kufahamu ni nyimbo gani kali ambazo ziliingia sokoni kwa wiki iliyopita na kwenye Buzz Recap tunafanya kazi ya kukumbusha nyimbo kali zilizotoka wiki iliyopita.

Kama unaweweseka kwenye mapenzi basi huna budi kusikiliza ngoma hii mpya kabisa kutoka kwa Rayvanny inayoitwa "Wanaweweseka". Kwenye "Wanaweweseka" kwa upande mmoja Rayvanny anatoa sifa kedekede kwa mpenzi wake huku upande wa pili Rayvanny anatoa ujumbe kwa watu ambao wako kinyume na mahusiano yake kuwa watasubiri sana.

Kama unapenda muziki mzuri kutoka kwa wasanii wa Tanzania basi umefika sehemu sahihi kabisa kwani Buzz Recap kazi yetu ni kukupitisha wewe kwenye nyimbo ambazo zimefanya vizuri Tanzania kwa wiki iliyopita.

"Istoshe mi msela sio bishoo, insert sim please chaji battery low, night kali sielewi nakaba koo. Kwenye mfuko sina doo muda wowote mi nauza roho" ni mojawapo ya mistari iliyopo kwenye kazi hii mpya ya Balaa MC.

Huna haja ya kuwa na chanzo kingine chochote kwani kama wewe ni mpenzi wa nyimbo za dini, nyimbo kutoka Nigeria, Singeli au nyingine zozote basi hii ndio sehemu yake. Basi bila kupoteza muda twende moja kwa moja kwenye njia hii.

Sehemu hii ni moja kati ya sababu za mimi kuandika makala hii kwani, kupitia sehemu hii sikuangaika hata kutafuta jina la nyimbo niliyokuwa nataka bali nilikuta kwenye list hii moja kwa moja. Yaani chukulia sehemu hii kama sehemu ya Trending kwenye mtandao wa YouTube.

Sehemu nyingine iliyo nivutia ni sehemu ya artist ambayo hii inakupa list ya wasanii ambao wanafanya vizuri na kila unapo chagua jina la msanii basi unaweza kupakua nyimbo zake zote mpya ambazo zimetoka kuanzia sasa na hata za zamani.

Ukweli ni kwamba kama unataka kupakua nyimbo mpya basi pengine tovuti hii ni moja ya tovuti bora sana za kupakua nyimbo kwa hapa Tanzania. Unaweza kujaribu tovuti hii kisha utuambie kwenye maoni hapo chini umeonaje matumizi yake pamoja na muonekano mzima.

Licha ya kutoa EP yake, First of All (FOA) Machi 11, 2022, Diamond hakuwa na mwaka mzuri ukilinganisha na miaka iliyopita, nyimbo zake nyingi zilizidiwa kimauzo baadhi ya maeneo na wasanii waliokuja miaka ya hivi karibuni kama Jay Melody na Mavokali.

This list includes top 10 Best hit songs in 2024 and download nyimbo mpya, tubidy download nyimbo mpya, Mzigotv nyimbo Mpya, Nyimbo Mpya Hivi Sasa Audio Download, Nyimbo kali Video Download, dj mwanga download nyimbo mpya

This Msomeni blog article gives you a quick way to download nyimbo mpya or new songs on your Android device. Google's official music app is YouTube Music, although Spotify, Apple Music, and Tidal users can all also download music for offline listening.

We hope you have successfully downloaded audio mpya or Nyimbo Mpya 2023 from the provided list. If you don't find a specific singer be patient a list of other singers is in progress. We are preparing Bongo Mpya Wiki Hii.

Gugulethu Khumalo (anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Berita, alizaliwa Bulawayo, 27 Juni 1991) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki mzaliwa wa Zimbabwe. Muziki wake ni mseto wa muziki wa soul ulio na vipengele kutoka Afro Jazz, vivutio vya kisasa vya pop na vilevile muziki wa densi wa Afrika Kusini. Yeye ndiye mmiliki wa lebo huru ya rekodi ya Assali Music.Yeye pia ni mwanzilishi wa Women of Music Business (WOMB), shirika la kuwawezesha wanawake katika tasnia ya muziki.

Mnamo Februari 2020, alitoa albamu yake ya nne ya studio, Songs in the Key of Love. Katika Tuzo za 27 za kila mwaka za Muziki za Afrika Kusini, albamu ilipokea tuzo ya Tuzo ya Afrika Kusini.Wimbo maarufu wa albamu "Jikizinto" ulishika nafasi ya #1 kwenye chati za Radio Monitor, na kumfanya kuwa msanii wa kwanza wa kike kujitegemea kushika nafasi ya #1 katika muongo mpya. Toleo lake la awali la muziki "Ungandibulali" lilishika nafasi ya #1 akitumia wiki 3 kileleni kwenye Chati za Radio Monitor, wimbo huo ulishirikisha Kwaya ya Vijana ya Ndlovu na ulikuwa wimbo wa mada katika kipindi cha 2020 cha Siku 16 za uharakati kama sehemu ya 'Do Not Turn A' ya SABC. Kampeni ya Blind Eye' dhidi ya GBV. Pia alishirikiana na Amanda Black kwenye single, "Siyathandana".

Kwa upande wake Kepteni Salum Lihega, lugha ya Kiswahili inafanikisha doria kama akifafanua kuwa, "lugha ya Kiswahili imetoa msaada mkubwa sana kwetu kwasababu imeleta urahisi sana katika kuwafikia raia na kufanya nao mazungumzo mbalimbali. Lugha ya Kiswahili imeenea na hii imepelekea kutuletea urahisi sana sisi katika kuwafikia raia kuzungumza nao kupata taarifa mbalimbali na pia sisi kujenga nao mahusiano yaliyo karibu. Kuna suala moja ambalo kwa kweli naomba nilizungumze nitoe pongezi zangu za dhati kwa wasanii wetu wa Tanzania waimbaji wa nyimbo za injili na vile vile hata waimbaji wa hizi nyimbo za kizazi kipya nao wamechangia sana katika kueneza hii lugha ya Kiswahili katika nchi hii. Utasikia nyimbo za injili kama vile za Rose Mhando, na Christina Shusho na vile vile za kizazi kipya kama vile za Diamond Platnumz na Ali kiba. Sasa hivi nikipita huko mitaani huona sisi tunapita kuzungumza nao na hasa hasa wakizisikiliza zile nyimbo na kutuona sisi wanaona kwamba sisi ndio wale ambao tumekuwa tukiziimba zile nyimbo. Kwa kweli imeleta faraja sana kwa watanzania tujidai kuwa na kiswahili tujivunie, tukitetee Kiswahili tukilinde na tujitahidi kukikuza ili kiweze kuenea na sehemu mbalimbali ukiacha hapa DRC."

Programu ya habari ya Afrika Upya inapeana habari mpya na uchambuzi wa changamoto kuu za kiuchumi na maendeleo zinazoikabili Afrika leo. Inachunguza maswala mengi yanayowakabili watu wa Afrika, viongozi wake na washirika wake wa kimataifa: mageuzi ya uchumi, deni, elimu, afya, maendeleo ya wanawake, migogoro na mzozo wa raia, demokrasia, misaada, uwekezaji, biashara, ujumuishaji wa kikanda, maendeleo vijijini na mengi mada zingine. Inafanya kazi na vyombo vya habari barani Afrika na zaidi ya kukuza kazi ya Umoja wa Mataifa, Afrika na jamii ya kimataifa kuleta amani na maendeleo barani Afrika.

Karibu katika tovuti yeti kama wewe ni mpenzi wa nyimbo mpya za Bongo Fleva, Nyimbo za Injili au nyimbo za Afro beats, Afro Congo ama Amapiano, unaweza kuzipata zote hapa citimuzik.com.

Karibu kwenye episode ya 55 ya KijiweNongwa na wiki hii tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Phina, Yammy, Country boy na Christian Bella. Tunaiangazia pia album ya Harmonize #VisitBongo na tunamalizia kwa kumuangalia #DjMisoMisondo na hali ya Singeli kwa Sasa. Karibu utusikilize.

Hii hapa list ya Nyimbo Mpya bora wiki hii, This week most popular songs, ranked by audio and video streaming and download activity on Nyimbo Mpya. Our rankings are determined by a combination of audio and video streaming and download activity, giving you a comprehensive view of which songs are resonating with listeners across the country.

9738318194
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages