Salama sana Yona!
Nimekujibu moja kwa moja kupitia barua pepe ili hapa kwenye kikundi tuzingatie mazungumzo kuhusu toleo la Gmail kwa Kiswahili.
Shukurani sana, na tuzidi kushirikiana.
-Salome
--
Salome Nduku
Swahili Language Specialist
Google - Kenya
+254 20 360 1715 | +254 20 360 1000