MICHAEL ITATIRO na NOEL CHACHA

9 views
Skip to first unread message

Nkunga,E.P

unread,
Jul 4, 2009, 3:56:25 AM7/4/09
to ex-bunge
Habari kwenu!

Leo nawaleta kwenu MICHAEL ITATIRO---7C---class of 1996.

NOEL CHACHA---class of 1991

Siku njema!

--
NKUNGA,Ellis P
P.o.Box 21411,
Dar es salaam.
Cell:+255 717 187 742
Skype: e_nkunga

"An individual has not started living until he can rise above the
narrow confines of his individualistic concerns to the broader
concerns of all humanity"----Martin Luther King, Jr.

George Muta

unread,
Jul 6, 2009, 4:50:13 AM7/6/09
to ex-b...@googlegroups.com
karibu sana michael itatiro kama unafahamu naitwa george muta 7B 96.
 
pendo napenda kukupa pongezi sana m2 wangu na sisi 2tajitahidi sana kutafuta wana bunge ili tuimarishe group letu mungu akuongoze.
 
Pendo kuna dada mmoja  anaitwa samira wa 7B kama mnakumbuka alikuwa anakuja kuchukuliwa na gari aina  pik up alikuwa na bendera za simba kipindi wa mechi ilipokuwa inachezwa yupo wapi saivi na nani an contact zake 


From: "Nkunga,E.P" <nku...@gmail.com>
To: ex-bunge <ex-b...@googlegroups.com>
Sent: Saturday, July 4, 2009 10:56:25 AM
Subject: MICHAEL ITATIRO na NOEL CHACHA

Nkunga,E.P

unread,
Jul 6, 2009, 4:53:44 AM7/6/09
to ex-b...@googlegroups.com
Samira namkumbuka!Wanamuchacho wale...ngoja tumtafute...

George Muta

unread,
Jul 6, 2009, 5:08:47 AM7/6/09
to ex-b...@googlegroups.com
Mambo vipi m2 wangu nimekuchia namba yangu ofisini kwako na namba zako zote umefunga.


From: "Nkunga,E.P" <nku...@gmail.com>
To: ex-b...@googlegroups.com
Sent: Monday, July 6, 2009 11:53:44 AM
Subject: Re: MICHAEL ITATIRO na NOEL CHACHA
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages