MADAWATI - SHULE YA MSINGI BUNGE

11 views
Skip to first unread message

Ellis Nkunga

unread,
Aug 13, 2013, 11:52:30 AM8/13/13
to ex-bunge
Wanabunge,

Nimeona kwenye Facebook group moja ya wana-Bunge barua toka kwa Mwalimu Mkuu wa Bunge juu ya suala la madawati. Inaonekana kama kuna wana-Bunge ambao walikuwa wana-campaign ya kupata madawati kwa ajili ya shule yetu. 

Sina taarifa kamili juu ya hili suala ila nafikiri mmoja wetu mwenye taarifa zaidi anaweza kutuhabarisha. Nimeambatanisha hiyo barua toka kwenye hiyo group ya Facebook na pia link ya Facebook:


Ellis Pendo
Class of 1996
Letter_Bunge.pdf
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages