TAHADHARI.

2 views
Skip to first unread message

Nkunga,E.P

unread,
Jul 27, 2009, 5:35:58 PM7/27/09
to ex-bunge
Tafadhali wajulishe wote wanaohusika kwamba kuna kundi kubwa la
majambazi wenye silaha kali, ambao wameingia Jijini Dar es salaam hivi
karibuni. Wahalifu hao ni pamoja na Wakenya ambao wana tabia ya kupora
fedha katika taasisi kubwa kama, mabenk, kampuni za mafuta na sehemu
zenye biashara kubwa n.k .

Aidha watu hawa wana mbinu ya kula njama na watumishi wasiokuwa
waaminifu. Ni muhimu mkafuatilia mienendo mbalimbali katika benk zenu
na sehemu zilizotajwa hapo juu pamoja na kuimarisha usalama julisheni
kwa message kupitia namba 0783034224 au kwa simu ya mdomo 0754-034224,
0787034224 , zote ni namba za Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Polisi
Dar es salaam.

Namba zingine za simu ni 0754- 276217, 0776880000 namba hizi ni za
mkuu wa Upelelezi Kanda maalum.


Lengo la maelezo si vitisho kwenu bali ni tahadhari muhimu , inayofaa
kuzingatiwa,


S. H. Kova - SACP

KAMANDA WA KANDA MAALUM

DAR ES SALAAM

--
NKUNGA,Ellis P
P.o.Box 21411,
Dar es salaam.
Cell:+255 717 187 742
Skype: e_nkunga


"An individual has not started living until he can rise above the
narrow confines of his individualistic concerns to the broader
concerns of all humanity"----Martin Luther King, Jr.

Claire Lawrent

unread,
Jul 29, 2009, 11:02:26 AM7/29/09
to ex-b...@googlegroups.com
Mambo vp wana Bunge?
 
Jamani ni  kweli maisha ni magumu au ni ugumu wa maisha tuwemakini sana
 
Kwa yeyote mwenye taarifa za Rashid Idrisa 7c naomba anipatie
 
Waseme

--- On Mon, 7/27/09, Nkunga,E.P <nku...@gmail.com> wrote:

eliamani nanyaro

unread,
Jul 29, 2009, 1:48:30 PM7/29/09
to ex-b...@googlegroups.com
wewe kaka ya kweli hayo???tusije piga no hzo alafu tukapelekwa lupango haya mambo haya c ya mchezo kunyea debe kusikie tu. anyways ntasambaza hzo za taarifa za bwana kova. ova


--- On Mon, 7/27/09, Nkunga,E.P <nku...@gmail.com> wrote:

From: Nkunga,E.P <nku...@gmail.com>
Subject: TAHADHARI.
To: "ex-bunge" <ex-b...@googlegroups.com>
Date: Monday, July 27, 2009, 2:35 PM

eliamani nanyaro

unread,
Jul 29, 2009, 1:50:17 PM7/29/09
to ex-b...@googlegroups.com
hahaha hv huyo mtu yupo kweli waseme??????? una kumbukukumbu na wewe nakuaminia
Eliamani
--- On Wed, 7/29/09, Claire Lawrent <cla...@yahoo.com> wrote:
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages