Fwd: USAFI NA STAMICO

6 views
Skip to first unread message

juma mfinanga

unread,
Apr 28, 2016, 3:58:38 AM4/28/16
to emdo...@googlegroups.com, john buhera, angelina sepeku, Marwa Obogo, Millen Ringo, ematt...@googlegroups.com, daniel mutani, Daniel Lucius, mboy...@gmail.com, timoth sandaria
Please take Note 

---------- Forwarded message ----------
From: agnes.mtawa <agnes...@mnh.or.tz>
Date: 2016-04-28 10:55 GMT+03:00
Subject: USAFI NA STAMICO
To: management <manag...@mnh.or.tz>
Cc: directors <dire...@mnh.or.tz>


GOODMORNING ALL
 
NINAWASALIMU NA KUWAKUMBUSHA KWAMBA STAMICO WAMEKUJA LEO NA KU CONFIRM WATAKUJA 30.4.2016 KUFANYA USAFI NA SISI HIVYO TUUNGANE NAO.DIRECTORS MNAJIJUA WENYE ZAMU YA KUJA SIKU HIYO.ZOEZI LITAONGOZWA NA DR PRAXEDA OGWEYO NA KAMATI YA USAFI.SHUGHULI ITAANZA SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI(7.30AM).HII NI KUANZA USAFI SIYO KUFIKA.
 
 WATAKUJA WATU 25,DR OGWEYO TAYARISHA  MAZINGIRA  YA KUTOLEA DAMU, HILO WAMESEMA LAZIMA WATACHANGIA DAMU.
WATAKWENDA PIA KUGAWA ZAWADI KWA WATOTO WA BURN,BM NA MKUU WA IDARA NPC II TAYARISHA MAZINGIRA KWA WAGENI WETU.
 
TUJIPANGE KUSHIRIKIANA NA WADAU WETU KUFANYA USAFI WA HOSPITALI YETU NZURI

 
Ms Agnes Mtawa,
Director of Nursing Midwifery Services,
Muhimbili National Hospital,
P.O. Box 65000,
Dar Es Salaam-Tanzania.
          +255 754 629 558



--
JUMA A. MFINANGA , MD, MMED
Emergency Medicine Physician Muhimbili National Hospital
Head - 
Emergency Medicine Department - Muhimbili National Hospital
Honorary Lecturer - Muhimbili University of Health and Allied Sciences 
General Secretary - Emergency Medicine  Association of Tanzania (EMAT)
Treasure  Medical Association of Tanzania (MAT)
P.O. Box 65000

Muhimbili National Hospital/Muhimbili University
Dar es salaam - Tanzania

 

Cell: +255 754  517 580/ +255 715 517 580
Email jumamf...@gmail.com
         juma.m...@mnh.or.tz  
         Skype jumamfinanga
         www.linkedin.com/profile/




 


juma mfinanga

unread,
Apr 29, 2016, 4:06:37 AM4/29/16
to emdo...@googlegroups.com, Marwa Obogo, Millen Ringo, angelina sepeku, ematt...@googlegroups.com, daniel mutani, Daniel Lucius, john buhera, mboy...@gmail.com, timoth sandaria
Please Take Note 

Thanks 
---------- Forwarded message ----------
From: agnes.mtawa <agnes...@mnh.or.tz>
Date: 2016-04-29 9:32 GMT+03:00
Subject: USAFI NA STAMICO
To: management <manag...@mnh.or.tz>
Cc: directors <dire...@mnh.or.tz>


HABARINI ZA ASUBUHI
NINAWALETEA RATIBA PENDEKEZWA AMBAYO TUMEKUBALIANA NA STAMICO KWA NIABA YENU,TUANZE MAPEMA NA TUMALIZE MAPEMA,CHINI YA UONGOZI WA DR OGWEYO (DCSS) BIG UP. KATIKA RATIBA
SAA ZINASOMEKA KWA KISWAHILI .VIFAA VYA USAFI KAMA SABUNI MAFAGIO NK VITARATIBIWA NA STELLA STANSLAUS NA KAMATI YA USAFI.
 
NAWASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO

Ms Agnes Mtawa,
Director of Nursing Midwifery Services,
Muhimbili National Hospital,
P.O. Box 65000,
Dar Es Salaam-Tanzania.
          +255 754 629 558
RATIBA YA USAFI MUHIMBILI.doc
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages