Morning guys,
hope mpo salama kabisa woote, kipekee napenda kumshukuru sana Mungu wa Mbinguni kwa ajili ya maisha yangu,
Napenda kuwaatarifu kuwa NATEGEMEA KUFUNGA NDOA TAKATIFU MNAMO TAREHE 5 DECEMBER 2015.
Ninyi mkiwa kama ndugu zangu wakaribu napenda kuwaalika rasmi ila pia nitashukuru sana mkinisapoti kwa ushauri na michango.
mchango unaweza kunitumia kwa number yangu ya voda ambayo ni; 0762883575 imesajiliwa kwa jina Kangoye Mahende. pia nitafurahi sana kuwaona siku hiyo.
napenda kuwatakia siku njema na kazi njema na Mungu awabariki sana.
Regards
Kangoye Mahende.