DOCTOR OF DENTAL SURGERY

2 views
Skip to first unread message

DAVID NASHON

unread,
Aug 30, 2012, 4:07:55 PM8/30/12
to di...@googlegroups.com
Duu......!
Asikwambie mtu!
Da
kumbe
Lab tech uwanja wetu mpana kama ule wa gofu gymcana.
Inawazekana Lab t akasomea meno, Lab t ya ukweli sana.
08 amepangwa na TCU pale MUHAS kusoma DDS 5YEARS.
Halafu e washikaji dizaini kama tumekaushiana kwenye forum yetu.
TUPEANE BASI MANEWS YA INTERWIEWS, IPT hata makazini na mtaani.
Kwa mfano:
Juzi kati nimeshangaa na kuogopa sana baada ya Interview ya Shirika la
Mzinga pale Moro kuendesha kwa lugha ya kiswahili. Halafu nafasi mbili
zinagombaniwa na vichwa nane walikuwepo pia 08 and 07.
GOOD NIGHT LAKINI tusisahau kunywa maziwa ya COWBELL VITARICH & SWEET.

Kilaza Samson

unread,
Aug 31, 2012, 1:18:07 AM8/31/12
to di...@googlegroups.com
Yeah, Ni kweli uwanja ni nmpana, ni namna tuu mtu anavotaka kucheza mwenyewe. Nimeipenda sana hiyo ya DDS. kama mtu ana interest ni vema akafukuzia hiyo chance. Ina future nzuri japo five years inataka commitment ya kutosha,

hay guys make the forum working!!!

Enjoy your weekends!

2012/8/30 DAVID NASHON <nasho...@gmail.com>

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "DITLT" group.
To post to this group, send an email to di...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to ditlt+un...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/ditlt?hl=en-GB.




--

Samson K, M - PhD Scholar - LSBE - NM-AIST: Mobile No: +255 762  856 616


If opportunity doesn't knock, build a door


Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages