Habari gani wandugu.

0 views
Skip to first unread message

Kangoye Mahende

unread,
Jul 30, 2012, 9:54:37 AM7/30/12
to di...@googlegroups.com
Ni matumaini yangu kuwa wanamaabala wenzangu mpo salama, mimi nipo safi na ninamshukuru sana Mungu kuwa bado ninapumua vyema. ni vyema kujulishana maisha yako vipi kwa OD 09 mambo ya kazi yanaendaje! na 010 and 011 field zinasemaje, mimi nipo Mjini Dodoma now kuna mambo nafatilia ya kazi, so ninaomba tuombeane sana jamani mtaani hapafai,bt baada ya week chache nitakuwa dar. nawatakia kazi njema na Mungu awe na kila mmoja wetu.AAAMEN!

Kangoye mahende
(Kax Von Max)

kilaza samson

unread,
Jul 30, 2012, 11:49:01 AM7/30/12
to di...@googlegroups.com
Mkuu, Kangoye Nashukuru kutukumbuka wana maabara.

Mbona ni mapema saana unasema mtaani hapafai? acha hizo bwaaaana... Pumnzika kiasi  then mambo ya kazi.

I hope you are enjoying though!

What about others???? Tupeni data za huko Mtaaaani wajameni!!!!

Mahamoooo d vipi swaumu>, Lothi??? John?and others??? Tupeni data hapa kwa forum

2012/7/30 Kangoye Mahende <kangoye...@yahoo.com>
Ni matumaini yangu kuwa wanamaabala wenzangu mpo salama, mimi nipo safi na ninamshukuru sana Mungu kuwa bado ninapumua vyema. ni vyema kujulishana maisha yako vipi kwa OD 09 mambo ya kazi yanaendaje! na 010 and 011 field zinasemaje, mimi nipo Mjini Dodoma now kuna mambo nafatilia ya kazi, so ninaomba tuombeane sana jamani mtaani hapafai,bt baada ya week chache nitakuwa dar. nawatakia kazi njema na Mungu awe na kila mmoja wetu.AAAMEN!

Kangoye mahende
(Kax Von Max)

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "DITLT" group.
To post to this group, send an email to di...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to ditlt+un...@googlegroups.com.
For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/ditlt?hl=en-GB.



--

Samson K, M - PhD Student - LSBE - NM-AIST: Mobile No: +255 762  856 616




If opportunity doesn't knock, build a door ( by Milton Berle)


ISMAEL LOTHI

unread,
Jul 30, 2012, 1:50:09 PM7/30/12
to di...@googlegroups.com

Mtaani kidogo chalenji lakini bado tunapumzika,bado nipo dar ninasma drivng kidogo victory school kuongeza ujuzi,naamini mambo yatakuwa sawa soon kazi tutapata wote regardles tuna brother,Godbless you brother samson kilaza,mungu akubariki you made impact in my life,real appriciate you. ------------------------------ On Mon, Jul 30, 2012 8:49 AM PDT kilaza samson wrote: >Mkuu, Kangoye Nashukuru kutukumbuka wana maabara. > >Mbona ni mapema saana unasema mtaani hapafai? acha hizo bwaaaana... >Pumnzika kiasi then mambo ya kazi. > >I hope you are enjoying though! > >What about others???? Tupeni data za huko Mtaaaani wajameni!!!! > >Mahamoooo d vipi swaumu>, Lothi??? John?and others??? Tupeni data hapa kwa >forum > >2012/7/30 Kangoye Mahende <kangoye...@yahoo.com> > >> Ni matumaini yangu kuwa wanamaabala wenzangu mpo salama, mimi nipo safi na >> ninamshukuru sana Mungu kuwa bado ninapumua vyema. ni vyema kujulishana >> maisha yako vipi kwa OD 09 mambo ya
kazi yanaendaje! na 010 and 011 field >> zinasemaje, mimi nipo Mjini Dodoma now kuna mambo nafatilia ya kazi, so >> ninaomba tuombeane sana jamani mtaani hapafai,bt baada ya week chache >> nitakuwa dar. nawatakia kazi njema na Mungu awe na kila mmoja wetu.AAAMEN! >> >> Kangoye mahende >> (Kax Von Max) >> >> -- >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups >> "DITLT" group. >> To post to this group, send an email to di...@googlegroups.com. >> To unsubscribe from this group, send email to >> ditlt+un...@googlegroups.com. >> For more options, visit this group at >> http://groups.google.com/group/ditlt?hl=en-GB. >> > > > >-- > >*Samson K, M - PhD Student - LSBE - NM-AIST: Mobile No: +255 762 856 616 > > >* > > >*If opportunity doesn't knock, build a door ( by **Milton Berle)* > >-- >You received this message because you are subscribed to the Google Groups "DITLT" group. >To post to this group, send an email to

kilaza samson

unread,
Jul 30, 2012, 2:02:34 PM7/30/12
to di...@googlegroups.com
Well planned!

Driving by itself is a necessary knowledge. I suggest other guys also do the same while waiting for other opportunities to open before them.

If you compete for the same job, if one of you is having a driving licence that assures him/her a job as compared to the other without it.

So keep it up man! convince other fellows to do the same, it will help then in future


cheers

2012/7/30 ISMAEL LOTHI <ismael...@yahoo.com>
If opportunity doesn't knock, build a door ( by Milton Berle)


Bruti Katani

unread,
Jul 31, 2012, 10:48:47 AM7/31/12
to di...@googlegroups.com
Mi nazani tungoje mwezi wa ramadhani uhishe ndo tuanze kujipanga...................
 

From: kilaza samson <kilaza...@gmail.com>
To: di...@googlegroups.com
Sent: Monday, July 30, 2012 6:49 PM
Subject: Re: Habari gani wandugu.
Mkuu, Kangoye Nashukuru kutukumbuka wana maabara.Mbona ni mapema saana unasema mtaani hapafai? acha hizo bwaaaana... Pumnzika kiasi  then mambo ya kazi.I hope you are enjoying though!What about others???? Tupeni data za huko Mtaaaani wajameni!!!! Mahamoooo d vipi swaumu>, Lothi??? John?and others??? Tupeni data hapa kwa forum
2012/7/30 Kangoye Mahende <kangoye...@yahoo.com>
Ni matumaini yangu kuwa wanamaabala wenzangu mpo salama, mimi nipo safi na ninamshukuru sana Mungu kuwa bado ninapumua vyema. ni vyema kujulishana maisha yako vipi kwa OD 09 mambo ya kazi yanaendaje! na 010 and 011 field zinasemaje, mimi nipo Mjini Dodoma now kuna mambo nafatilia ya kazi, so ninaomba tuombeane sana jamani mtaani hapafai,bt baada ya week chache nitakuwa dar. nawatakia kazi njema na Mungu awe na kila mmoja wetu.AAAMEN!

Kangoye mahende
(Kax Von Max)

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "DITLT" group.
To post to this group, send an email to di...@googlegroups.com.
To unsubscribe from this group, send email to mailto:ditlt%2Bunsu...@googlegroups.com.

For more options, visit this group at http://groups.google.com/group/ditlt?hl=en-GB.

kilaza samson

unread,
Jul 31, 2012, 12:57:42 PM7/31/12
to di...@googlegroups.com
Mwezi huu wa Ramadhani ndio mzuri zaidi Maana mwenyezi Mungu ndipo anagawa baraka zake kwa waja wake!

David Nashon

unread,
Aug 2, 2012, 5:16:07 AM8/2/12
to di...@googlegroups.com

Thanx gayz for your postings:
Mie naendelea vizuri na ule muda wa kula bata umeisha kwani jana nilikuwa naripoti kazini Promasidor (Tz) CO Ltd maeneo ya VETA CHANG'OMBE Dsm [their brands include COWBELL POWDERY MILK, CHAI JABA, MCHUZI ONGA MIX, DRINK O POP or POWDERY JUICE and others to come] as a QUALITY CONTROL OFFICER na leo nimepangwa shift ya mchana saa 8 mpaka saa tatu usiku.
Of course
application ya kile nilichokisoma darasani ni ndogo, i will give you more updates about the job as time goes as i'm still a tranee.
As our teacher adviced us through the email delivered via SPAM i've planned to use weekends in learning driving.
HALAFU
Wametangaza redioni kuwa wizara kazi na ajira wametoa ajira kibao leo for more vist: www.ajira.go.tz
na inasemekana kuwa serikali ya CCM itatoa ajira kibao ili kujaribu kujisafisha kabla ya 2015 kwa hiyo wahitimu neema CCM zinakuja.
PIA
TANAPA , INTERTEK, TIRDO walitangaza nafasi za kazi kwa maelezo zaidi tembelea Website ya ZOOMTZ
N.B.
Niliwahi kusikia kwamba Compuni ya INTERTEK wanatoa salary nzuri.
Amina na BWANA awabariki wote




------------------------------
On Tue, Jul 31, 2012 9:57 AM PDT kilaza samson wrote:

>Mwezi huu wa Ramadhani ndio mzuri zaidi Maana mwenyezi Mungu ndipo anagawa
>baraka zake kwa waja wake!
>
>On 31 July 2012 17:48, Bruti Katani <katan...@yahoo.com> wrote:
>
>> Mi nazani tungoje mwezi wa ramadhani uhishe ndo tuanze
>> kujipanga...................
>>
>>
>> *From:* kilaza samson <kilaza...@gmail.com>
>> *To:* di...@googlegroups.com
>> *Sent:* Monday, July 30, 2012 6:49 PM
>> *Subject:* Re: Habari gani wandugu.
>> **
>> Mkuu, Kangoye Nashukuru kutukumbuka wana maabara.****Mbona ni mapema
>> saana unasema mtaani hapafai? acha hizo bwaaaana... Pumnzika kiasi then
>> mambo ya kazi.****I hope you are enjoying though!****What about
>> others???? Tupeni data za huko Mtaaaani wajameni!!!!** **Mahamoooo d vipi
>> swaumu>, Lothi??? John?and others??? Tupeni data hapa kwa forum****
>> 2012/7/30 Kangoye Mahende <kangoye...@yahoo.com>**
>>
>> Ni matumaini yangu kuwa wanamaabala wenzangu mpo salama, mimi nipo safi na
>> ninamshukuru sana Mungu kuwa bado ninapumua vyema. ni vyema kujulishana
>> maisha yako vipi kwa OD 09 mambo ya kazi yanaendaje! na 010 and 011 field
>> zinasemaje, mimi nipo Mjini Dodoma now kuna mambo nafatilia ya kazi, so
>> ninaomba tuombeane sana jamani mtaani hapafai,bt baada ya week chache
>> nitakuwa dar. nawatakia kazi njema na Mungu awe na kila mmoja wetu.AAAMEN!
>>
>> Kangoye mahende
>> (Kax Von Max)
>>
>> --
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "DITLT" group.
>> To post to this group, send an email to di...@googlegroups.com.
>> To unsubscribe from this group, send email to
>> mailto:ditlt%2Bunsu...@googlegroups.com<ditlt%2Bunsu...@googlegroups.com>
>> .
>>
>> For more options, visit this group at
>> http://groups.google.com/group/ditlt?hl=en-GB.
>>
>> ******-- ****
>> *Samson K, M - PhD Student - LSBE - NM-AIST: Mobile No: +255 762 856 616
>>
>>
>> *
>> ****
>> *If opportunity doesn't knock, build a door ( by **Milton Berle)*
>> **** -- ** You received this message because you are subscribed to the
>> Google Groups "DITLT" group.** To post to this group, send an email to
>> di...@googlegroups.com.** To unsubscribe from this group, send email to
>> ditlt+un...@googlegroups.com.** For more options, visit this group
>> at http://groups.google.com/group/ditlt?hl=en-GB.**
>> ****
>>
>> --
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "DITLT" group.
>> To post to this group, send an email to di...@googlegroups.com.
>> To unsubscribe from this group, send email to
>> ditlt+un...@googlegroups.com.
>> For more options, visit this group at
>> http://groups.google.com/group/ditlt?hl=en-GB.
>>
>
>
>
>--
>
>*Samson K, M - PhD Student - LSBE - NM-AIST: Mobile No: +255 762 856 616
>
>
>*
>
>
>*If opportunity doesn't knock, build a door ( by **Milton Berle)*

kilaza samson

unread,
Aug 2, 2012, 5:29:13 AM8/2/12
to di...@googlegroups.com
Thanks for sharing and keeping the forum active

Enjoy your new job

2012/8/2 David Nashon <davidna...@yahoo.com>



--

Samson K, M - PhD Scholar - LSBE - NM-AIST: Mobile No: +255 762  856 616
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages