FW: UCHELEWESHAJI KUTUMA TAARIFA NA MAOMBI YA DAWA NA VIFAA TIBA- KWIMBA

9 views
Skip to first unread message

Victor Sungusia

unread,
Sep 27, 2018, 1:26:37 PM9/27/18
to csscsup...@googlegroups.com, Ruta Thomas, Tuloson Nyalaja, dhs...@tamisemi.go.tz

Dear Team,

Naomba kutoa shukrani zangu kwa ushirikiano mnaotupatia katika kutoa Huduma kwa wananchi wetu.

Poleni sana kwa msiba Mkubwa wa Ukara.

 

Pia naomba kuwahimiza wilaya ya Kwimba na Ukerewe kukamilisha kutuma report za ILS. Deadline ilikuwa tarehe 21. Ucheleweshwaji huu utasababisha MSD kuchelewa kuanza kufunga na kusambaza dawa na hivyo kuwanyima wananchi fursa ya kupata Huduma bora.

 

Asante sana,

Victor Sungusia.

 

From: Florence Makunda [mailto:fmak...@tz.jsi.com]
Sent: Thursday, September 27, 2018 11:02 AM
To: elias...@yahoo.com
Cc: vedastus magessa <vedam...@gmail.com>; tulosonnyalajas <tuloson...@yahoo.com>; nelsonk...@gmail.com; godfrey mwera <gmw...@gmail.com>; Swald Amiri <swald...@tz-ghsc.com>; Yusuf Mdogwa <yusuf....@tz-ghsc.com>; Victor Sungusia <vsun...@msd.go.tz>; Rachael Aggrey <rag...@msd.go.tz>; cmwi...@msd.go.tz
Subject: UCHELEWESHAJI KUTUMA TAARIFA NA MAOMBI YA DAWA NA VIFAA TIBA- KWIMBA

 

Habari za asubuhi 

Napenda kuwakumbusha kutuma oda za dawa (taarifa na maombi) kwa vituo vyote vilivyopo halmashauri ya wilaya ya Kwimba. Aidha kumekuwa na ucheleweshwaji wa kutuma taarifa na maombi ya dawa na vifaa tiba na kusababisha kupungua kwa kasi ya kuzihudumia hapa MSD na kuwaletea shehena

Kwa kawaida oda ikifika huwa inapitiwa ili hujiridhisha na ubora wa takwimu zilizojazwa, lakini pia tunahakiki kama zile dawa muhimu, na dawa za programu ambazo lazima ziwepo kituoni zinakuwa zimeripotiwa.

Kutokana na muundo, oda za ILS zinatakiwa kufika kwa wakati tarehe 21 ya mwezi wanaotolea taarifa, Hivyo basi, Halmashauri yako imechelewa kutuma taarifa hizi kwa wakati hadi muda huu mmeripoti kwa asilimia 29 (29%) kati ya vituo 52 mmetuma 15 tu

tunatarajia mabadiliko robo inayofuata

 

Salaam

kwimba DC.docx
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages