Habari wadau,
Kiambatanisho hapo juu ni ratiba na program ya mkutano ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 29-30 Mwezi Januari 2020 wenye malengo ya kutatua changamoto mbalimbali za dawa na vifaa tiba, kubadilishana uzoefu na kupanga kwa pamoja mkakati wa kufanikisha upatikanaji wa dawa.
Kwa ufupi, kama ratiba inavyoonyesha timu za mikoa (RHMTs-Mwanza, Mara, Shinyanga na Simiyu) zitafanya presentations kwa kutoa taswira ya kimkoa kulingana na mada (Topic) pendekezwa kwenye ratiba. Hivyo basi, tunawaomba wafamasia wa mikoa/Wataalam wa maabara Mkoa kuwasiliana na wafamasia/wataalam maabara wa wilaya waweze kupata takwimu zinazohitajika za wilaya na kuziweka pamoja (Compile) kimkoa.
Kwa ujumbe huu, tunawatakia maandalizi mema na tunawakaribisha sana katika kikao cha kubadilishana uzoefu Mwanza. Asante.
Sincère,
Michael Y. Bajile,
Officier de programme, gestion pharmaceutique et chaîne d'approvisionnement | AGPAHI
Téléphone portable:+255 767 650 213