Wadau,
Kanda tulipokea Co-trimoxazole vidonge/susp kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Ukimwi (NACP) na kwa kuzingatia kwamba mbali na dawa hizi kuwepo MSD kama bidhaa ya kuuza, kuna kunachangamoto katika vituo kwa WAVIU kupewa dawa hizo kwani wanapaswa kupewa bure. Sera ya Afya iko wazi kwa wateja hawa swala ni utekelezaji katika ngazi ya vituo.
Kwa uelewa kwamba za Vertical hazijakuwepo kwa muda mrefu, tuliona busara kufanya SMART PUSH ili kila kituo mama kipate na hatimaye kituo mama kipeleke vituo tegemezi (CTC Baby sites) kama wanavyopeleka dawa za ARV katika vituo hivyo.
Naambatanisha SMART PUSH hio hapo chini FYI/FYA. Ombi ni kwamba dawa hizi kama zilivyo dawa nyingine ziingie na kutoka katika Leja zetu na wakati wakutuma R&R basi matumizi yake yaonekane.
Vituo vinapaswa kutolea taarifa na kuomba dawa hizi kwenye R&R kwani baada ya hii SMART PUSH tutakuwa tunatumia oda ya kituo katika kipindi chake.
NB: Baadhi ya halimashauri/vituo vimeshapokea na baadhi utaratibu wakuwaletea unaendelea.
Ahsanteni,
Swald.