Wadau habari,
Hongereni kwa kazi;
Nawakumbusha kutuma report za vitendanishi za Mwezi April, 2017 kama tulivyokubaliana kwenye kikao mwezi March, 2017.
Councils chache mno walituma report za March, 2017..Nafikiri mliona feedback analysis ya report zenu.
Hii report ni muhimu sana kwani inasaidia as evidence based kulinganisha upimaji vituoni na historia ya upatikanaji wa vitendanishi wakati wa kuanalyse performances za upimaji katika Quarter husika na pia huonyesha ni mahala gani panahitaji usaidizi wa vitendanishi kama kuna upungufu mkubwa…
DLTs naomba mtusaidie…
Best regards,
Emilian Ng’wandu
Program Coordinator,
Pharmaceutical Management & Supply Chains
Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative, AGPAHI
P.O.Box 303, Plot No. 35, Capri Point
Mwanza, Tanzania.
Mob: +255 754 001 424 Skype: emilian.ngwandu
Email: engw...@agpahi.or.tz Web www.agpahi.or.tz