Humphrey Simba
unread,Oct 13, 2012, 1:49:37 AM10/13/12Sign in to reply to author
Sign in to forward
You do not have permission to delete messages in this group
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to cps...@googlegroups.com
Pongezi zangu kwenu nyote ambao leo tutatunukiwa cheti cha juu kabisa
cha manunuzi na usimamizi wa mifumo ya ugavi na Waziri wa Fedha wa
Tanzania. Japo nimesikitishwa na kitendo cha bodi kuchelewa kutoa
majibu mapema kwa wenzetu waliokuwa na masahihisho,hii inatia shaka
ufanisi wa bodi yetu muda huu ambao procurement inaona jua na kuwa
idara mkakati katika taasisi nyingi. Wajifunze kutoka NBAA,
Ndimi,
Simba
--
"For hope is but the DREAM of those that wake"
LOVE, HOPE AND FAITH!