KUbadilisha kidogo proposal kipengele cha account

1 view
Skip to first unread message

Stephano Amoni

unread,
Aug 9, 2011, 4:32:08 AM8/9/11
to COICT ICTDAY
Dear team,
ili kuondokana na  utata,kwenye kipengele cha account hapo chini andika maneno haya.Daruso organization does not have an account.This is because there is a change of Leadership year after year.So we agree to use the chaiperson account.

Naomba uyaandike kwenye kipengele cha account hapo.

Bahati Kamwela

unread,
Aug 9, 2011, 5:52:39 AM8/9/11
to coict_...@googlegroups.com
Hi Team!
Hongera mheshimiwa mwenyekiti kwa marekebisho uliyofanya.mi nadhani ingekua busara pia kukaa pamoja kikao cha mwisho cha kufinalize hii kitu ili kuweka sawa mambo yote japokua najua mda umeenda ila ni muhimu kuwa na hicho kikao kama tulivyopanga.Kwa hiyo nadhani watu wasome vizuri hiyo proposal na kuangalia zile logo ili tukutane ikiwezekana hata kesho jioni.Tumalize kila ki2 kwenye kikao ili kuanzia kesho kutwa 2anze kusambaza na kufuata pia taratibu zingine.Ni vizuri kujadili mambo kama haya mezani kwa pamoja kuliko mtandaoni.
many thanks!
Kamwela.

From: Stephano Amoni <stephan...@yahoo.com>
To: COICT ICTDAY <coict_...@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, August 9, 2011 11:32 AM
Subject: KUbadilisha kidogo proposal kipengele cha account
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages