Dear Bahati,
Ninakuomba uprint proposal tatu na introduction letters tatu.Proposal moja unaipeleka kwa principal wa college,na nyingine kwa dean of students kule yombo.zote hizo ukazipige muhuli ofisi ya Daruso.Muhuli upige chini pale nitakapoweka saini
yangu.Hizo introduction letter ni kwa ajili ya kupeleka makampuni mbalimbali.Ukiprint propasal unaiprint yote kama ilivyo ambazo utaiacha kwa principal na kwa dean.Kuhusu.proposal tutakazozipeleka kwenye makampuni mbalimbali uciprint cover page ya juu ambayo ipo kama barua,kwa kuwa tutaweka cover page ya introduction letter ambayo imeandikwa kwa marketin manager.Nahici umenielewa.Fanya kazi hiyo.Jamani kila mmoja aprint nakala tatu tatu za hivyo siku ya kesho,alafu zianzwe kusambazwa.c mnakumbuka makampuni.Jamani aciyeangaike acije
akalaumu.kila mmoja atakula kulingana na urefu wa kamba yake.Maelezo ya jinsi ya kufanya yanafanana na niliyompa bahati.kwa wengine mciprint hata cover page moja ya proposal ambayo ni barua kwa principal na dean badala yake print introduction letter ambayo itakuwa cover page ya proposal kwa kuwa tunapeleka kwenye makampuni.zote hizo ni muhimu kuwa na muhuli wa Daruso.Thank you.
wako,
Stephano.