maoni

2 views
Skip to first unread message

Ally Kanji

unread,
Aug 9, 2011, 3:39:12 AM8/9/11
to coict_...@googlegroups.com, stephan...@yahoo.com
Kwa mtazamo wangu namna ya wadhamini kuwapatia akanti binafu(personal account) kwa jambo la jumuiya inaweza ikawa ni kikwazo kwani hizi ni hela na lazima watatia shaka ni kwa namna gani bwana mwenyekiti anaweza kufikisha hizo pesa hivyo nashauli tuangalie ni utaratibu gani utafaa wa kupapata hizo fedha iwapo wafadhili watakuwa tayari kutupatia ni hii itasaidia jambo kuwa la wazi na kuto kuleta shaka kwa jamii

Peter Marusu

unread,
Aug 9, 2011, 4:32:43 AM8/9/11
to coict_...@googlegroups.com
ni kweli kaka sasa inabidi kila mmoja wetu ajulishwe ili kukubaliana na wazo litalotolewa na wajumbe wote we have to take it serious


From: Ally Kanji <kanj...@yahoo.com>
To: coict_...@googlegroups.com
Cc: stephan...@yahoo.com
Sent: Tuesday, 9 August 2011, 10:39
Subject: maoni
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages