You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to cfreconomicd...@googlegroups.com, freddy maro, Isack David, alice masaki, mwen...@gmail.com, Beatrice Ollotu
Diplomats habari
1. Wale ambao hawaja submitt research mpaka leo imeandikwa deadline mwisho friday after that hakuna exuse jiandae kwa mwaka mwingine wa Masomo
2. Wale ambao mmepokea transcript na mlifanya somo lile la security na mkaona lile somo limendikwa na kujumuishwa katika GPA ondoeni shaka kuwa cheti hakitakuwepo wameliandika lakini cheti pia kitatoka soon muhimu kwenda kwa muhusika ku rectify jina lako before halijatoka na makosa
3.Make sure wakati umeomba transcipt uwe umekusanya na research na kumekuwa na tatizo wengine reserch zao wame submmitt lakini wameandikiwa NIL matokeo ya reserch pls ni jambo lakumuona muhusika uliemkabidhi then awasiliane na watu wa Examination Department.
............Otherwise kufuatilia mambo yako mapema ni vizuri mana unaweza ukajua umemaliza kumbe una viporo.