GRADUATION.

4 views
Skip to first unread message

Abdu Maheta

unread,
Jan 10, 2014, 1:41:42 PM1/10/14
to cfreconomicd...@googlegroups.com, freddy maro, mwen...@gmail.com, alice masaki, op...@tasaf.org, msim...@yahoo.com
          DIPLOMATS HABARI TRH 30/01/2014 GRADUATION
Nikitambua kuwa sio wote tunaopata Muda wa kuonana pia sio wote wapo kwenye group yetu ya Whasup kumekuwa na baadhi ya Maombi au Mawazo toka kwa wenzetu nkasema ngoja niletee humu tuzungumze Pamoja Wazo lenyewe ni"JOINING PARTY"

Wadau walikuwa wanapendekeza baada ya graduation kuisha jioni huwa watu wanakwaida wengine ya kuaandaa party pamoja na ndugu na Jamaa zake kama sehemu ya Furaha Watu wanapendekeza kwa kuwa graduation imekuja kama ghafla Je ingekuwa vizuri wale wakajumukika kufanya party ya pamoja ,pamoja na familia zao Kwa Mfano mnaweza Mkawa 20 ukawachangia na wale ambao ungependa ushiriki nao kama Mume/Mke au WAZAZI Then Mkajumuika pamoja amount utakayo contribute inategemea Unawalipia wangapi??.........Nikaona sio wazo Baya Lets share that na wenzangu Ukizingatia UMOJA NI NGUVU na nisehemu pia ya kukuza NETWORK na Huenda ikapunguza Gharama kwa wadau kwa wale wenye Interest ya kufanya Induvidual.

........Sio lazima tuwe wote but in "the Coalition of the willing".......
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages