TRANSCRIPT

5 views
Skip to first unread message

Abdu Maheta

unread,
Mar 25, 2014, 4:39:20 PM3/25/14
to cfreconomicd...@googlegroups.com, sir...@hotmail.com, op...@tasaf.org, Beatrice Ollotu, mwen...@gmail.com, alice masaki, abkha...@yahoo.com
Habari  Diplomats Heshima zenu


Ndg,

Kwa wale wanaohitaji ACADEMIC TRANSCRIPT procedure zifuatazo ni muhimu kufuata.

1.Unaenda masijala unachukua Clearence form then unapita kwa wahusika wote  then wanakujazia na kukusainia but make  sure wakati unaenda kusainiwa library uwe na ID zao

2. Then ukimaliza kuijaza unaenda kuilipia hyo Transript katika A/C no hyo NMB  20101100061 unaenda na risit yako kwa mhasibu wankubadilishia.

3. Unaambatanisha risit,Clearence Form na Barua yakuomba Hyom TRANSRIPT

4. Unairudisha kwa Masijala unasubiria TRANSCRIPT yako

NB; Ukumbuke hata utaratibu wa kuchua cheti lazima uwe umefanya hvo vote kwa wale ambao tupo mbali unaweza ukamuomba mtu akakusaidia kukuchukulia inaruhusiwa
ABDU 3.JPG
ABDU 2.JPG
ABDU.JPG

patt...@yahoo.com

unread,
Mar 25, 2014, 11:51:50 PM3/25/14
to cfreconomicd...@googlegroups.com

Ahsante Dullah hiyo fee ni Tsh.ngapi?
Lkn kwanini tulipie Transcript na tulilipa ada? Yani wao wanachukulia kuwa tuna kazi na hivyo kila huduma tuilipie tu. Hiki chuo kina uswahili na urasimu uliokithiri. Wamekaa na vyeti muda mrefu tunekosa opportunity nyingi saiv wanaleta mlolongo mrefu wa kuvitoa.

Sent from Yahoo Mail on Android



From: Abdu Maheta <abdum...@gmail.com>;
To: cfreconomicd...@googlegroups.com <cfreconomicd...@googlegroups.com>; <sir...@hotmail.com>; <op...@tasaf.org>; Beatrice Ollotu <bgol...@bot.go.tz>; <mwen...@gmail.com>; alice masaki <alicem...@gmail.com>; <abkha...@yahoo.com>;
Subject: TRANSCRIPT
Sent: Tue, Mar 25, 2014 8:39:20 PM

--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "cfreconomicdiplomacy2012" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to cfreconomicdiploma...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages