RE;BONANZA

3 views
Skip to first unread message

Abdu Maheta

unread,
Oct 19, 2013, 11:23:08 AM10/19/13
to cfreconomicd...@googlegroups.com, mwen...@gmail.com, alice masaki, Isack David, sir...@hotmail.com, freddy maro, op...@tasaf.org


Hellow watu My people!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tumeubaliana kuwa Bonanza letu litafannyika  trh 2/November /2013 Kuanzia saa 3 kamili asubuhi kigamboni itakayoshirikisha  Michezo yote kama tulivoelezana kwenye Email ya mwanzo.

Tumepata nafasi tukiwa na Uongozi wa chuo pamoja na Kamati yetu kuzungumza na Postgradute wapya wamefurahi sana,sana na wako pamoja  kwa asilimia zote.

Tumekuwa watu wa kwanza pia kuwaleta pamoja kwani ED  na MFR mwaka wapo wengi sana jambo ambalo ni ngumu kwao kukutana pamoja na hawana somo ambalo wanaweza kuwa pamoja nayo ni changamoto kwao.

Michango yeto tumekubaliana kuwa ni 20,000/= tu ikujumuisha mambo yote yale yanakuwa siku zote .Tunahidi kujitahidi kupunguza au kuondoa mapungufu yote yale ya mwanzo yaliyojitokeza katika bonanza zilizopita.........Lakini hili pia litachangiwa na respond ya michngo kama itakuwa mapema kuweza kufanya Mandalizi mapema.


Pia itakuwa ni sehemu muhimu ya kuelezana tulikofikia kwenye Umoja wetu tunategemea pia kuwa na wanafunzi wa International relation Kutoka UDOM.

Michango ianze kutumwa sasa ka namba zifuatazo

                          TIGO PESA     0715-200687-ABDU   MAHETA
                                   
                          M-PESA         0755-393624-  RENATUS SONA

                          M-PESA         0755-200687-ABDU  MAHETA

Muhimu pia wachezaji kujiandaa vizuri bkwani post wapo wengi na ukizingtia hatujawahi kushinda bonanza lolote tukafute Ukibonde....

........ TUJITOKEZE  KWA WINGI KARIBUNI SANA.............


















Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages