Group: http://groups.google.com/group/cfreconomicdiplomacy2012/topics
Abdu Maheta <abdum...@gmail.com> Mar 25 01:39PM -0700
Habari Diplomats Heshima zenu
Ndg,
Kwa wale wanaohitaji ACADEMIC TRANSCRIPT procedure zifuatazo ni muhimu
kufuata.
1.Unaenda masijala unachukua Clearence form then unapita kwa wahusika wote
then wanakujazia na kukusainia but make sure wakati unaenda kusainiwa
library uwe na ID zao
2. Then ukimaliza kuijaza unaenda kuilipia hyo Transript katika A/C no hyo
NMB 20101100061 unaenda na risit yako kwa mhasibu wankubadilishia.
3. Unaambatanisha risit,Clearence Form na Barua yakuomba Hyom TRANSRIPT
4. Unairudisha kwa Masijala unasubiria TRANSCRIPT yako
NB; Ukumbuke hata utaratibu wa kuchua cheti lazima uwe umefanya hvo vote
kwa wale ambao tupo mbali unaweza ukamuomba mtu akakusaidia kukuchukulia
inaruhusiwa
"patt...@yahoo.com" <patt...@yahoo.com> Mar 25 08:51PM -0700
Ahsante Dullah hiyo fee ni Tsh.ngapi?
Lkn kwanini tulipie Transcript na tulilipa ada? Yani wao wanachukulia kuwa tuna kazi na hivyo kila huduma tuilipie tu. Hiki chuo kina uswahili na urasimu uliokithiri. Wamekaa na vyeti muda mrefu tunekosa opportunity nyingi saiv wanaleta mlolongo mrefu wa kuvitoa.
Sent from Yahoo Mail on Android
--
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "cfreconomicdiplomacy2012" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
cfreconomicdiploma...@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.