Abdu Maheta
unread,Jun 18, 2014, 5:16:22 AM6/18/14Sign in to reply to author
Sign in to forward
You do not have permission to delete messages in this group
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to cfreconomicd...@googlegroups.com, alice masaki, freddy maro, EDSON TOTO, patrick malogoi, mwen...@gmail.com, Isack David, op...@tasaf.org, Beatrice Ollotu, benn...@yahoo.com, otto super, sir...@hotmail.com, Renatus Sona, Evance Dadi, kadele...@hotmail.com, kal...@yahoo.com, Charles Kileo, abkha...@yahoo.com, anga_...@yahoo.com
Dear brother and Sisters,
Heshima yenu popote mlipo ,Poleni na majukumu na harakati za maisha katika ujenzi waTaifa letu.
Kama ndugu jamaa na marafiki tulioishi pamoja kwa Amani,Upendo na Furaha ,tumeshirikiana mengi katika Maisha hasa nyakati za huzuni majonzi na hata wakati wa kula Mbuzi pamoja now naomba tushirikiane katika hili la HARUSI (NDOA)...........
Ndugu yetu KHAMIS ABDULRAHMAN BADRU Anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa tisa hivo kwa Moyo mkunjufu anaomba support yetu ya hali na Mali katika kuliendea Jambo jema kama kama hili haswa ukizingatia hata vitabu vote va DINI vinalibariki Tukio hilo hivo nae anaomba ulibariki tukio hilo kwa Mchango wako kwake katika kuliendea jambo hilo zuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hivo naomba kuliratibu jambo hilo ili kufanikisha hili jambo la mwenzetu hivo Karibuni nataandaa Form Maalum za michango hiyo ambayo tutakuwa tunatoa update hapa kila wiki juu ya michango hiyo.Jukumu langu ni kuratibu tu ila inahitajika support kutoka kwenu.
Ahsanteni sana,
"MWENYEZIMUNGU AWAFANYIE WEPESI KATIKA SHUGHULI ZENU KOKOTE MLIPO"