Re: Digest for cfreconomicdiplomacy2012@googlegroups.com - 1 update in 1 topic

2 views
Skip to first unread message

Anthony Komu

unread,
Jun 22, 2014, 12:13:43 PM6/22/14
to cfreconomicd...@googlegroups.com
Sawa mkuu tutachanga.

On Thursday, June 19, 2014, <cfreconomicd...@googlegroups.com> wrote:
>   Today's topic summary
>
> Group: http://groups.google.com/group/cfreconomicdiplomacy2012/topics
>
> HARUSIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII [1 Update]
>
>  HARUSIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
>
> Abdu Maheta <abdum...@gmail.com> Jun 18 12:16PM +0300  
>
> Dear brother and Sisters,
>  
> Heshima yenu popote mlipo ,Poleni na majukumu na harakati za maisha katika
> ujenzi waTaifa letu.
>  
> Kama ndugu jamaa na marafiki tulioishi pamoja kwa Amani,Upendo na Furaha
> ,tumeshirikiana mengi katika Maisha hasa nyakati za huzuni majonzi na hata
> wakati wa kula Mbuzi pamoja now naomba tushirikiane katika hili la HARUSI
> (NDOA)...........
>  
>  
> Ndugu yetu *KHAMIS ABDULRAHMAN BADRU* Anatarajia kufunga ndoa mwanzoni
> mwa mwezi wa tisa hivo kwa Moyo mkunjufu anaomba support yetu ya hali na
> Mali katika kuliendea Jambo jema kama kama hili haswa ukizingatia hata
> vitabu vote va DINI vinalibariki Tukio hilo hivo nae anaomba ulibariki
> tukio hilo kwa Mchango wako kwake katika kuliendea jambo hilo
> zuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
>  
> Hivo naomba kuliratibu jambo hilo ili kufanikisha hili jambo la mwenzetu
> hivo Karibuni nataandaa Form Maalum za michango hiyo ambayo tutakuwa
> tunatoa update hapa kila wiki juu ya michango hiyo.Jukumu langu ni kuratibu
> tu ila inahitajika support kutoka kwenu.
>  
> Ahsanteni sana,
>  
> "MWENYEZIMUNGU AWAFANYIE WEPESI KATIKA SHUGHULI ZENU KOKOTE MLIPO"
>
>  
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages