Tumepanga tuwe na Bonanza kubwa litakalokuwa ni pamoja na kukutana sisis wenyewe kama diplomat at least kubadilishana mawazo na kufurahi pamoja ukizingatia ni ngumu kwa sasa kukutana ukiwa na postmet wako wote lakini zaidi ya yote ni kuwakaribisha "postgradute WAPYA 2013" Tujuane na tutengeneze network kubwa pamoja ,tufurahi pamoja ,tuchome mbuzi pamoja.................Huenda ikatusaidia kukutana na watu tuliopotezana nao pia.
MAWAZO YAKO..........
Je ifanyike wapi Dar au Bagamoyo ?kama ni dar mchango ni 20000 kama Bagamoyo ni 30000 na kama ni dar wapi?
Vitu vitatakavokuwepo
Mchezo wa mpira wa miguu PGD 2012 VS PGD 2013
Basketball PGD 2012 VS PGD 2013
Kukimbiza kuku
Kukimbia na gunia
kushindana kula /kunywa soda
Mpira wa Pete
Tunahangaika kupata wadhamini kwa ajili ya zawadi
.......................Mawazo yako ni muhimu................