You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to cfreconomicd...@googlegroups.com, kal...@yahoo.com, kadele...@hotmail.com, mwen...@gmail.com, alice masaki
..................A LOT OF THANKS...................... Kwa niaba ya kamati Iliyofanikisha sherehe zetu.
1.Tunapenda kuwashukuru wote ambao wamefanikisha shughuli yetu nzima
kufanyika na haswa wale ambao walijitoa kwa Hali na Mali na hata pale
tulipopungukiwa lakini bado waliongeza mchango wao na hawkutuchoka
MWENYEZIMUNGU awabariki sana.
2. Tumekubaliana leo trh 18
katika kikao cha majumuisho kuwa sasa tuliendee lile swala letu la TDC
kwa kwa Kasi, Nguvu na Ari ili mpaka october tuwe na jambo la kuwaeleza
wanajumuiya wetu ikiwa ni pamoja na katiba ,Logo,Accaun pamoja na
Usajili.
3. Kila baada ya miezi 2 au 3 tutakuwa na jambo
litakalokuwa linatukutanisha pamoja na kuanza trh 14/10/2013 tutakuwa na
event inaweza ikawa bonanza,Beach party au Kikao cha kawaida tu ikiwa
ni pamoja na kuwakaribisha post gradute wapya lengo likiwa lile lile
kutengeneza Mtandao wa wana diplomasia (Network ) .Kamati yetu ipo wazi
unakaribishwa na wewe ukipenda kujitolea kufanikisha haya.
4.
Tunaomba radhi kwa mapungufu yeyote yaliyojitokeza haswa ukizingatia
shughuli hii ili simamiwa na binadamu na mapungufuni sehemu ya
Ubinadamu.
5. Kamati itakuwa na vikao va mara kwa mara hivo
tutawajulisha tunapofikia tunawaomba sana utayari wenu.......... Ni
NDOTO zangu na NDOTO zetu siku moja kuwe na FORUM kubwa yawana
diplomasia Tanzania inayoweza kuisaidia nchi yetu kwa mawazo na ushauri
na hata kuwa na Matamko ple inapobidi.
............................"Tunawapenda sana Asanteni Sana".........................
josiah emmanuel
unread,
Aug 18, 2013, 11:59:15 PM8/18/13
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to cfreconomicd...@googlegroups.com
Pamoja mdau..all da best.
> --
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "cfreconomicdiplomacy2012" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to cfreconomicdiploma...@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
katwe kisesa
unread,
Aug 19, 2013, 8:55:26 AM8/19/13
Reply to author
Sign in to reply to author
Forward
Sign in to forward
Delete
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message