Tuitions inapatikana Themi (karibu na Watoto foundation / pipi house)

0 views
Skip to first unread message

Mumtaaz Abdulkadir

unread,
Jun 19, 2018, 8:07:47 AM6/19/18
to buy and sells pot
Tuitions inapatikana Themi (karibu na Watoto foundation / pipi house) 

Tuitions inapatikana kwa ajili ya watoto kutoka ngazi ya chekechea hadi darasa la 4, (Yaani kwa umri 1-9years) wote NECTA na CAMBRIDGE.  Masaa mawili kwa siku, Kwa wiki Mara tano.

KWA DARASA LA 1-4 

MASOMO 

1) Hisabati
2) Kingereza 
3) Kiswahili 
4) Kifaransa 
5) Sayansi 
6) Arts 
7) ICT (computa) 

KWA WATOTO WA CHEKECHEA 

MASOMO YANAYOFUNDISHWA

1) herufi 
2) namba 
3) rangi na maumbo 
4) wanyama nk 

Kwa watoto wadogo na  chekechea mda inaweza kubadilika.. 

Kwa maelezo zaidi piga simu au Whatsapp  Mimi Mumtaaz Abdulkadir kwenye SIM 0788077976
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages