*MAFUNZO KWA MLIPA KODI*
*IMEANDALIWA NA:* *NAKI Business Consultants ikishirikana na in Hekima
Associates*
*Mahali :**ukumbi wa The New Safari Hotel*
*Muda :* *siku ya ijumaa tarehe
20/11/2015 kuanzia saa nane mchana mpaka
saa** kumi na moja*
*Gharama:**Bure*
*Mada zitakazojadiliwa*
Ø *Haki za mlipa kodi kama ilivyoainishwa kwenye sharia ya kodi 2015 pamoja
na hasara za ukwepaji kodi (effect of noncompliance with tax payments*
Ø *Umuhimu wa kuandaa mahesabu ,jinsi ya kutunza kumbukumbu za biashara na
kusimamia vizuri stoo(inventory/stock)*
Ø *Faida na hasara za kutozwa kodi kwa njia ya makadirio ya kodi na njia
za kuandaa mahesabu financial statements.(Returns VAT filling financial
income.*
* Bonyeza hii link kujisajili*
*
http://nakiconsultants.com/contact*