Ufugaji Wa Kuku Wa Nyama Pdf Download

0 views
Skip to first unread message
Message has been deleted

Osoulo Lejeune

unread,
Jul 13, 2024, 12:59:30 AM7/13/24
to biobankdankla

Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) nchini Tanzania linakusudia kutekeleza mradi wa kuhamasisha wafugaji kupunguza matumizi ya dawa, mathalani za viuavijiumbemaradhi katika ufugaji wa kuku wa nyama nchini humo. John Kabambala wa redio washirika wetu KidsTime FM anatujuza zaidi kupitia makala hii.

ufugaji wa kuku wa nyama pdf download


Download Zip >>> https://shurll.com/2yVpUW



Wanufaika wa ufugaji ni watu wote wasiofuga na wanaofuga. Ufugaji wa kuku unatupeleka kupata mayai na nyama ya kuku, huku ufugaji wa mifugo wengine hutupeleka kupata nyama na maziwa. Haya ndiyo mazao tunayotarajia kuyaona katika ufugaji.

Swali la kujiuliza; je, unafahamu mahitaji yako ya mayai, nyama na maziwa katika lishe kitaalamu? Bila shaka ni swali ambalo umewahi ama hujawahi kulifikiria lakini takwimu zinaonyesha wastani wa kula mayai, nyama na maziwa kwa mtu mzima kwa mwaka kuwa uko chini.

Wastani wa nyama inayoliwa na mtu mzima kwa mwaka ni kilo 15 tu huku kiasi kinachotakiwa kuliwa ni kilo 50 kwa mwaka. Na wastani wa lita 47 za maziwa pekee hutumiwa na mtu mzima kwa mwaka badala ya lita 200 kwa mwaka.

Kuku wa kisasa wanaongezeka kwa kasi ikilinganishwa na hapo awali. Hii ni kutokana na ongezeko la watu kusababisha kuwa na uhitaji mkubwa wa nyama ya kuku na mayai ambao kuku wa kienyeji wanazidi kuelemewa kila kukicha.

Hali hii imehamasisha sana ufugaji wa kuku wa kisasa na kuwa mwarobaini wa kupunguza gharama ya kupata nyama kwa walaji. Zaidi ya asilimia 80 ya watu waishio mijini wanategemea kuku wa kisasa kwa mayai na nyama.

Upungufu wa mazao ya mifugo kulingana na mahitaji ya watu kama ilivyoainishwa na FAO, bado ni mkubwa, kwani hali inayosababisha ulaji wa mayai, nyama na maziwa kuwa chini ni pamoja na uhaba wa bidhaa hiyo kwenye jamii, kitendo kinachosababisha kupanda bei kuliko uwezo wa watu wa chini kununua.

Naungana na Profesa Lekule kwamba; zaidi ya asilimia 90 ya vyakula vya mifugo ambavyo hutengenezwa viwandani hutumika kulisha kuku. Ili kujenga msingi bora wa ufugaji wa kuku na wanyama wengine, ni bora kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya nafaka na jamii ya mikunde kama vile mahindi na soya ambayo ndiyo chakula kikuu cha wanyama.

Mifugo kama kuku ina unafuu mkubwa kwa wafugaji kuifuga ikilinganishwa na mifugo mingine. Kwa walaji pia kuku ni nafuu kupatikana ikilinganishwa na aina nyingine ya mifugo ambao si rafiki kuwepo katika baadhi ya maeneo.

Uhamasishaji wa ufugaji na ulaji wa mazao ya mifugo lazima uendane na upatikanaji wa malisho ya mifugo kwa gharama nafuu na kuuza mazao yao kwa bei nafuu. Badala ya kutumia dagaa kwenye mchanganyiko wa chakula, ipo fursa ya kutumia soya kwenye protini ya wanyama na kuacha dagaa itumike kwa lishe ya binadamu pekee.

aa06259810
Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages