You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to arush...@googlegroups.com
mr.mkonyi, habari za siku nyingi. nakushukuru sana kwa kutukumbusha mambo mengi pamoja na masaga. jamani tufanyeje kuihuisha ar-udec yetu maana naona imekwama sasa nitatekeleza tena haraka. asante na karibu sana loliondo
You do not have permission to delete messages in this group
Copy link
Report message
Show original message
Either email addresses are anonymous for this group or you need the view member email addresses permission to view the original message
to arush...@googlegroups.com
Mr
Privanus
Sisi hatujambo, nimepokea ujumbe toka kwa
Alphonce Massaga kwamba mtoto wake Catherine ni mgonjwa amefanyiwa upasuaji
huko Ocean Road Hosp. Tumkumbuke kwa maombi. Mwenyezi Mungu anusuru maisha ya
mtoto huyu na tutue michango kama alivyotuomba.
Sisi kama TOT wa Ujasiriamali lazima tuwe
wabunifu. Utakumbuka walimu wetu waliotufundisha walivyoambiwa waondoke kwenye
kikao na kutafuta namna ya kunusuru kitengo kwasababu chuo hakikuwa na fedha.
Walipata fedha na sisi tungetumia fursa zilizopo tunaweza tukajitengenezea
programme hasa jinsi ya kuelimisha watu fursa zilizopo kwenye soko la Africa
Mashariki.