HI

9 views
Skip to first unread message

ernest mkonyi

unread,
Apr 24, 2013, 9:42:28 AM4/24/13
to Masanga UDEC
Mr Privanus
 
 Sisi hatujambo, nimepokea ujumbe toka kwa Alphonce Massaga kwamba mtoto wake Catherine ni mgonjwa amefanyiwa upasuaji huko Ocean Road Hosp. Tumkumbuke kwa maombi. Mwenyezi Mungu anusuru maisha ya mtoto huyu na tutue michango kama alivyotuomba.
 Sisi kama TOT wa Ujasiriamali lazima tuwe wabunifu. Utakumbuka walimu wetu waliotufundisha walivyoambiwa waondoke kwenye kikao na kutafuta namna ya kunusuru kitengo kwasababu chuo hakikuwa na fedha. Walipata fedha na sisi tungetumia fursa zilizopo tunaweza tukajitengenezea programme hasa jinsi ya kuelimisha watu fursa zilizopo kwenye soko la Africa Mashariki.
 Tuendelea kupeana Mawazo.
 
Ernest S.Mkonyi
Arusha Municipal Community Foundation (AMCF)
P.O.BOX 2076
ARUSHA
Mobile: 0767-245861

privanus simon

unread,
Apr 27, 2013, 3:30:18 PM4/27/13
to arush...@googlegroups.com
MR.  MKONYI.
Nashukuru sana kwa taarifa na updates zako kila mara.
hakika tuo pamoja sana na hata mm nilipata taarifa za ugonjwa  wa binyi wa masaga.
hakika na tuongeze bidii na kuombeana katika matatizo na kusaidiana.
nipo arusha kwa muda nitapenda kuonana nawe
 
Privanus S.Katinhila,
Ngorongoro District Coucil,
P.O.BOX 1.
LOLIONDO.
Mob:- +255 789 646 064/ 712 733 477


From: ernest mkonyi <esmk...@yahoo.co.uk>
To: Masanga UDEC <arush...@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, April 24, 2013 4:42 PM
Subject: (arusha-udec) HI

--
--
You received this message because you are subscribed to the Google
Groups "arusha-udec" group.
To post to this group, send email to arush...@googlegroups.com
To unsubscribe from this group, send email to
arusha-udec...@googlegroups.com
For more options, visit this group at
http://groups.google.com/group/arusha-udec?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "arusha-udec" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to arusha-udec...@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages