GASFIER STOVE WANTED

26 views
Skip to first unread message

aloisi temu

unread,
Apr 15, 2012, 6:04:43 AM4/15/12
to anila...@googlegroups.com

Dear Anila,

How are you my Afrika mashariki mwenzangu, naitwa Aloyce Temu na nipo Arusha, napenda sana kupata majiko yanayotumia nishati mbadala (alternative fuel stove) na nimefanikiwa kupata e mail yako toka kwa internet, naomba tuwasilia zaidi na uniabie ni jinsi gani naweza pata maelezo kwa kina na bei za hayo majiko haswa yanayoweza tumia pumba za mpunga na mabaki mengine ya mashambani na mengine yanayoweza tumia briquette.

Naomba simu yako yangu ni +255766665051

Nakutakia jumapili njema.

Aloyce

Reply all
Reply to author
Forward
0 new messages